ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu
Aiseeee, umepasua jipu pwaaaaaaaa!ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu
ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu
Aiseee kwa hiyo ukimpata wako unatakiwa kumshikilia kama yai asidondike eeeh!Asante kwa tahadhari
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.
Hayo yalibainishwa mjini hapa jana na mkurugenzi mkuu wa NBS, Dk Albina Chuwa.Idadi ya wanawake Tanzania Bara ni 23,058,933 na wanaume 21,869,990.Alisema Tanzania ina watu 44.9 milioni, Tanzania Bara ikiwa na watu milioni 43.9 na Zanzibar milioni 1.3.
Alisema mkoa unaoongoza kwa kuwa na watu wengi ni Dar es Salaam ukiwa na watu milioni 4.3 pia ukifuatiwa na Mwanza wenye watu milioni 2.7.
Alisema watakuwa wakipita mkoa kwa mkoa kutoa matokeo hayo ya sensa kwa lengo la kumfikia kila mdau ili aweze kuzitumia takwimu kwa kupanga mipango yake binafsi.
SOSI: MWANANCHI
My take ndo maana wanaume wanaongoza kwa kuwa na michepuko ili kuwasitiri waliozidi hapo maana tukisema ratio iwe 1:1 wengine watakosa, ila sijahalalisha kwa wanaume kuwa na michepuko!
ukimwacha tu mwenzako kashika nafasi
Haswaaaa maana ukimuacha anadondokea kwa mwingine unabaki unang'aa sharubu
ukimwacha tu mwenzako kashika nafasi
ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu
Vipi kuna sehemu kajitambulisha kama mwanaume?