Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Polisi walifyatua risasi za moto na mabomu ya kutoa machozi kwa wafuasi wa Odinga sambamba na magari ya viongozi wa upinzani NASA, kuzuia msafara wa Odinga uliokuwa ukitoka uwanja wa ndege kumpokea kiongozi wao Raila Odinga aliporudi kutoka ziara ya Marekani na Ulaya.
Makundi ya kutetea haki za binadamu yamewalaani polisi, kwa kuwa na upendeleo katika mzozo wa kisiasa na kukiuka katiba kwa kuwazuia wafuasi wa upinzani kukusanyika.