Idadi ya waliuawa yafikia 5 baada ya makabiliano kati ya polisi na wafuasi wa Odinga

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,261
a85c5b1c14da0a048ef1a8b54ccfbb85.jpg
7f85139dac0d0382f6080939b7ed09fb.jpg
0475ea4f9785cb7e4559c8e558fb26f3.jpg
Idadi ya waliuawa baada ya kutokea makabiliano kati ya polisi wa Kenya na wafuasi wa kiongozi wa upinzani, Raila Odinga imefikia watano huku gari la polisi likichomwa moto.

Polisi walifyatua risasi za moto na mabomu ya kutoa machozi kwa wafuasi wa Odinga sambamba na magari ya viongozi wa upinzani NASA, kuzuia msafara wa Odinga uliokuwa ukitoka uwanja wa ndege kumpokea kiongozi wao Raila Odinga aliporudi kutoka ziara ya Marekani na Ulaya.

Makundi ya kutetea haki za binadamu yamewalaani polisi, kwa kuwa na upendeleo katika mzozo wa kisiasa na kukiuka katiba kwa kuwazuia wafuasi wa upinzani kukusanyika.
 
This is not good news at all.Kesi za kupinga matokeo zimefikia wapi.Nairobi inapaswa kutatua mgogoro huu haraka
 
Wanaochelewesha ni hawa Majaji, kesi za wanaopinga uchaguzi wa marudio za akina Bw. Harun Mwau ndo kwanza zimeanza kusikilizwa wiki iliyopita. Maamuzi ya haraka yanahitajika hapo
 
Ni kama huku tu...Polisi wanajipendekeza na kupendelea upande flani kwaajili ya kulinda matumbo yao.

Hawana haja ya kujali haki za raia.
 
Mungu angekuwa na mawazo km ya kwangu angelifuta bara la Africa tu!! Maana wenzetu ukikuta wanaendesha maisha yao kidemokrasia ni democrasia kweli,ukikuta wanaendesha maisha yao kidicteta ni udicteta kweli,na kila mmoja ana kubaliana na hali!! Na hii ni kwa sababu wenzetu hawana unafki wanasimamia wanachokiamin kiwe kibaya au kizuri!! Sisi waafrica kinachotuponza ni unafki,yaan leo tunataka tujionyeshe wema kwa wenzetu kube sio kweli,au tujionyeshe wabaya kumbe sisi wema ila tunahangaikia maslahi tu!!!
"Ee Mungu Tusaidie"
 
Sisi waafrica kinachotuponza ni unafki,yaan leo tunataka tujionyeshe wema kwa wenzetu kube sio kweli,au tujionyeshe wabaya kumbe sisi wema ila tunahangaikia maslahi tu!!!
"Ee Mungu Tusaidie"

Mkuu.. Sasa kwa yanayotokea Kenya unafiki uko wapi hapo? Na nani wa kulaumiwa?
 
Tatizo ni Uhuru Kenyatta na Ruto.

Kwani Raila kupokelwa na wafuasi wake inawazuia nini wao kuwa Rais na makamo wa Rais!?

Ni ujinga tu wa bangi na cocaine anazo vuta na kula Mr Uhuru Kenyatta.

Tumeona, Yale maandamano hayakuwa ya fujo fujo au machafuko wamekuja kwa amani kabisa ila baada ya polisi kuanza kujiandaa eneo la Uhuru park, na kuwashambulia walipokaribia kufika katikati ya jiji.

Ila Kwengine kote walikopita hatukuona fujo hata kugusa gari au kiosk ama mboga za mama muuza genge la mbogamboga.

Automatically, there were no tangible reasons for such kind of a resistance and use of police organ to people who came to met Mr Raila.

Tatizo ni viongozi kujitoa ufahamu.
 
I agree with you on this one...Raila has a following like any other opposition politician...I really don't see why welcoming him home was a big deal for the police force...
 
Tatizo ni Uhuru Kenyatta na Ruto.

Kwani Raila kupokelwa na wafuasi wake inawazuia nini wao kuwa Rais na makamo wa Rais!?

Ni ujinga tu wa bangi na cocaine anazo vuta na kula Mr Uhuru Kenyatta.

Tumeona, Yale maandamano hayakuwa ya fujo fujo au machafuko wamekuja kwa amani kabisa ila baada ya polisi kuanza kujiandaa eneo la Uhuru park, na kuwashambulia walipokaribia kufika katikati ya jiji.

Ila Kwengine kote walikopita hatukuona fujo hata kugusa gari au kiosk ama mboga za mama muuza genge la mbogamboga.

Automatically, there were no tangible reasons for such kind of a resistance and use of police organ to people who came to met Mr Raila.

Tatizo ni viongozi kujitoa ufahamu.
Ngoja tu nifafanue kwa jinsi nilivyo elewa jinsi vurugu zilivyo anza.

Jeshi la polisi lilikuwa halitaki RAO awahutubie wafuasi wake kwenye uwanja wa UHURU PARK kwa kuwa ungeharibu mitihani ya kitaifa ya kidato cha nne ambao unaendelea kufanyika nchi nzima. MZOZO ULIANZIA HAPO na ndipo RAO alipofanikiwa kuwahutubia wafuasi wake maeneo ya SLUM ya KIBERA
 
Polisi wahuni tuu hamna jipya huku
[/IMG]
FB_IMG_1510947680316.jpg

Wanevunja bar la mtu na kuanza kunywa vileo!
FB_IMG_1511007647969.jpg
 
Tatizo ni Uhuru Kenyatta na Ruto.

Kwani Raila kupokelwa na wafuasi wake inawazuia nini wao kuwa Rais na makamo wa Rais!?

Ni ujinga tu wa bangi na cocaine anazo vuta na kula Mr Uhuru Kenyatta.

Tumeona, Yale maandamano hayakuwa ya fujo fujo au machafuko wamekuja kwa amani kabisa ila baada ya polisi kuanza kujiandaa eneo la Uhuru park, na kuwashambulia walipokaribia kufika katikati ya jiji.

Ila Kwengine kote walikopita hatukuona fujo hata kugusa gari au kiosk ama mboga za mama muuza genge la mbogamboga.

Automatically, there were no tangible reasons for such kind of a resistance and use of police organ to people who came to met Mr Raila.

Tatizo ni viongozi kujitoa ufahamu.
Wewe hauwajui hao wajaluo unaotetea,wakikubaliwa wafanye wanavyotaka hufanya na kuacha mahalibifu makubwa na hasara
 
Sasa hapa ndio huwa naona great mind ya Magufuli, Magufuli aliona mbali ili kuepusha haya yote hakuna maandamano Tanzania ban all the demonstrations and other mad political rallies ili kila mtu aishi

Huwa wanataka maandamano lakini matokeo ya maandamano hawahataki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom