Je huku kwetu kukoje, Rais Makamu wa Rais Waziri mkuu Majaji Mawarizi Wabunge Wakuu wa Mikoa Wilaya n.k wanalipa kosi
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer alilipa kodi ya £54,718 mwaka jana
Waziri Mkuu Sir Keir Starmer alilipa ushuru wa pauni 54,718 mnamo 2023/24, kulingana na hati iliyotolewa na serikali.
Muhtasari unaonyesha alilipa ushuru wa pauni 152,225 za mapato katika mwaka wa kifedha unaoishia tarehe 5 Aprili 2024, kipindi ambacho chama cha Labour kilikuwa na upinzani.
Sir Keir alipata sehemu kubwa ya mapato yake kutokana na jukumu lake kama mbunge na kiasi kidogo kutoka kwa mirahaba ya vitabu na riba ya £5,174 ya pesa katika akaunti ya akiba.
Kansela Rachel Reeves na Naibu Waziri Mkuu Angela Rayner pia wamechapisha muhtasari wa masuala yao ya ushuru kwa mwaka huo huo.
Reeves alipata jumla ya £91,758 na alilipa £24,215 katika kodi ya mapato.
Chansela alipokea £12,372 kutokana na mapato ya kujiajiri, ambayo yalihusiana na mirahaba ya kitabu na ada za vitabu vya sauti.
Rayner alipata jumla ya £85,205 na kulipa £21,514 katika kodi ya mapato.
Mapato yote ya Rayner na manufaa yanayotozwa ushuru yalitokana na jukumu lake kama mbunge.
Bili ya ushuru ya Sir Keir ya 2023/24 ilikuwa chini kuliko mwaka wa fedha uliopita, alipolipa £52,688 katika kodi ya faida ya mtaji baada ya mauzo ya Desemba 2022 ya shamba ambalo sehemu yake linamilikiwa na mali ya babake.
Mswada wake wa ushuru mnamo 2022/23 ulikuwa chini mara tano kuliko wa Waziri Mkuu wa zamani Rishi Sunak kwa mwaka huo huo.
Muhtasari wa hivi punde zaidi wa Sir Keir wa mapato yake yanayotozwa ushuru nchini Uingereza, faida za mtaji na kodi aliyolipwa katika mwaka uliopita wa kodi kama ilivyoripotiwa kwa HM Revenue & Customs, ulitayarishwa na wahasibu wake wa kukodi.
Kwahiyo ongezeko la makusanyo ni kutokana na nini. Au wameongeza ukamuajiIdadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Je, unadhani nini kimechangia hali hii?
Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?
Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣
Chochote kitakacho nunuliwa na mtoto au mkubwa iwe ni chakula mavazi au chochote kile kodi tayari mtu ameshatozwa humo !Hawa viongozi wetu wanatufanya sote ni mapoyoyo ujue!
Enhe, principle za uanzishwaji wa kodi ya VAT ilikuwa ni nini?
Kuwaita raia wote kuwa ni walipa kodi wa nchi hii lengo lake ni nini?
Ni hatua gani za kisheria zilizokwisha chukuliwa kwa waliokwepa kodi halali za Serikali?
Kwa wengine Mashamba ni Boshen tu au sehemu ya kufanyia picnic na mapichapicha tu !Wigo mwingine ukitazwamwa ni kwa wenye mashamba wanatakiwa pia kulipa kodi ya mapato
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ytf8D5bNFywRais mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea kuwekeza nguvu zake katika kilimo wakati huu baada ya kustaafu majukumu ya Kitaifa.
Wenye mashamba ya kueleweka je wanalipa kodi ya mapato PAYE mbali ya kodi zile za mageti ya mazao n.k Masanja Mkandamizaji akionesha mafanikio ya ajira ya kilimo
View: https://m.youtube.com/watch?v=pFywWew6Fdk
Mimi nakuona wewe ndio unashindwa kuelewa, receipt yako inaandika pesa imekatwa na TRA basi unalipa kodi na hapo lazima uwe na Tin number kama huna basi hulipi kodi hapo sijui umeelewa??Huu ndo upuuzi sasa tunalisha watu, mfanyakazi kila mwezi analipa kodi je lini TRA imemkadiria , so mfanyakazi wa tz sio mlipa kodi kwa sababu hajakadiriwa na TRA ?
Nijibu kabla sijakufuata na fimbo jirani ,nakueshim
Kwa wengine Mashamba ni Boshen tu au sehemu ya kufanyia picnic na mapichapicha tu !