Hawapendi Kulipa Kodi
Bado mkuu , wanaolipa direct tax ndio muhimu kuliko hiyo 2000 yakoSisi sio Wajinga bhana.
Juzi tu nimetoka kulioa 2200 VAT kupitia wakaka luku, Halafu Jinga moja limeshiba Allowance linataka kusema sisi ambao hatukadiliwi mapato na TRA hatulipi kodi...
STUPID
Nikweli mkuuWARUDISHE KODI YA KICHWA
Idadi ya walipa kodi ni tofauti na wale wanaokwepa kutoa au kuchukua risiti.
Idadi ya walipa kodi ni kodi ile direct kutoka ktk mishahara, Corp tax n.k siyo ya indirect tax ambayo kila mmoja analipa.
Kuwa na idadi kubwa ya walipa kodi ya mapato kupitia direct tax ni fungu muhimu maana hakuna jinsi ya kukwepa.
Indirect ni fungu la ziada siyo muhimu la uhakika kama direct tax
Lakini wanatuambia makusanyo yameongezeka maradufu? Hivi tunatumia njia za kishirikina au kiuchumi?Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Je, unadhani nini kimechangia hali hii?
Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?
Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣
Duh wanatupiga🤣Lakini wanatuambia makusanyo yameongezeka maradufu? Hivi tunatumia njia za kishirikina au kiuchumi?
Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Kodi inayoongelewa hapa ni direct tax na sio indirect taxAcheni kutupanga hivi nchi hii kuna mtu alipi kodi, hivi miamala kwenye sim , malipo kwenye luku , maushuru mbalimbali ikiwemo maegesho ya magari sio kodi
Kwa nini mnataka fanya watz wajinga sana ,pumbavu
Direct na indirect tax , ina maana gani wakati zote zinaingia mfuko mkuu wa serikali? Huu ni utapeli wa maneno tu , huwezi sema walipa kodi wanapungua ili hali kila mwananchi analipa kodi kwa njia moja au nyingine .Kodi inayoongelewa hapa ni direct tax na sio indirect tax
Nakumbuka mkuuTOKA MAKTABA :
06 September 2023
Ni walipa kodi 4,696,99 tu wamesajiliwa kati ya mil. 33
Hadi kufikia Juni 30, 2023 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ilikuwa imesajili jumla ya walipa kodi 4,696,999, sawa na asilimia 16 ya idadi ya nguvu kazi iliyopo nchini ambayo ni takribani watu milioni 33.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Baraza la Wawakilishi (BLW), Ameir Abdallah Ameir, aliyetaka kujua ni asilimia ngapi ya wafanyabiashara hawajaingizwa katika mfumo rasmi wa kodi na Serikali inachukua hatua gani kuwafikia.
“Hadi Juni 30, 2023 Mamlaka ya Mapato Tanzania ilikuwa imesajili jumla ya walipa kodi 4,696,999, sawa na asilimia 16 ya idadi ya nguvu kazi iliyopo nchini ambayo ni takribani watu milioni 33.
Kodi gani unayolipa wewe mkuu, au kwa siku unanunua vitu vya tsh ngapi kulipa kodi. Kwa ufupi kama nchi ins walipa kodi wachache ina maana kuwa wananchi hawazalishi au hawana kazi rasmi kinachoongelewa hapa ni direct tax , sio kodi ya tsh 1 unayotoa ukinunua kiberiti huko kwenuDirect na indirect tax , ina maana gani wakati zote zinaingia mfuko mkuu wa serikali? Huu ni utapeli wa maneno tu , huwezi sema walipa kodi wanapungua ili hali kila mwananchi analipa kodi kwa njia moja au nyingine .
Kama TRA haiwezi kuja na majibu muhim katika hili basi kuna shida ,kwamba kwao walipa kodi ni wakina Mo n.k ila mwananchi wa chini sio mlipa kodi ,huu upumbavu ukome