Walipa kodi wameongezeka kwa ujumla wake, labda wamepungua mawakala wa kukusanya kodi.Acheni kutupanga hivi nchi hii kuna mtu alipi kodi, hivi miamala kwenye sim , malipo kwenye luku , maushuru mbalimbali ikiwemo maegesho ya magari sio kodi
Kwa nini mnataka fanya watz wajinga sana ,pumbavu
Hali ngumu ya Uchumi Nchini Tanzania inafichwa ili kuogopa Aibu ya Samia kushindwa uongozi, hata hizo Takwimu za makusanyo zinazotolewa na TRA ni za uongo.Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Je, unadhani nini kimechangia hali hii?
Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?
Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣
Wewe na Dkt Mpango tumuamini nani?Walipa kodi wameongezeka kwa ujumla wake, labda wamepungua mawakala wa kukusanya kodi.
Tuna changamoto ya kutofautisha walipa kodi na mawakala.
Mara nyingi walipa kodi huongezeka sambamba na idadi ya watu.
Machinga wote sahivi halipi tena kodi na walikuwa zaidi ya 1 million nadhani ni hao ndio wamepunguza idadi..Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Je, unadhani nini kimechangia hali hii?
Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?
Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣
TRA wanapiga fix mapato yamepanda, Poor TRA, Takwimu za Jiwe zimerejeshwa tena.Hatari sana tumepoteza walipa kodi 1,000,000.
Asilimia kubwa sana, serikali itoke na kutuambia nini kimetokea.
Nchi haijakumbwa na vita kubwa ya kupoteza nguvu kazi wala hakuna gonjwa kubwa la kufuta 33% ya nguvukazi walio walipa kodi iwe binadamu au kampuni.
Haya mambo yanatakiwa yajadiliwe kwa kina ni makosa ya takwimu zilizokusanywa sensa ya walipa kodi au serikali ilitaka kujimwambafai ina idadi kubwa ya walipa kodi.
Tuna changamoto ya kutofautisha walipa kodi na mawakala
Ni mwaka gani Machinga walilipa kodi TRA?Machinga wote sahivi halipi tena kodi na walikuwa zaidi ya 1 million nadhani ni hao ndio wamepunguza idadi..
huu mjadala ni wawanaume tu mwanamke usicomment .😂
Mkuu wanachukulia watanzania wa sasa ni wale wale wa miaka 70's kwamba wananchi hawana elimu ya kodi wakati unaponunua bizaa yoyote tu jua kuwa ushakatwa kodi.Acheni kutupanga hivi nchi hii kuna mtu alipi kodi, hivi miamala kwenye sim , malipo kwenye luku , maushuru mbalimbali ikiwemo maegesho ya magari sio kodi
Kwa nini mnataka fanya watz wajinga sana ,pumbavu
Hahaha,Dr Mpango ni mkweli mno mpaka wameamua kumpumzisha.
Nawashangaa mkuu, ccm janga la DuniaMkuu wanachukulia watanzania wa sasa ni wale wale wa miaka 70's kwamba wananchi hawana elimu ya kodi wakati unaponunua bizaa yoyote tu jua kuwa ushakatwa kodi.
Hahaha,
Kwamba haendani na kasi ya uongo na propaganda za chama chetu?
Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Je, unadhani nini kimechangia hali hii?
Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?
Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣
huu mjadala ni wawanaume tu mwanamke usicomment .😂
Labda kuna kodi aliyoiongelea yeye na hiyo idadi ya watu maana kodi ziko tofauti tofauti kuanzia VAT, CORPORATE TAX, EXCISE DUTY, CUSTOM DUTY, WITHHOLDING, INCOME TAX, SOCIAL SECURITY, PROPERTY TAX, etc.Nawashangaa mkuu, ccm janga la Dunia
- kuzorota kwa uchumi,
- mabadiliko ya sheria na sera za kodi, na