Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,611
- 10,173
Hawa viongozi wetu wanatufanya sote ni mapoyoyo ujue!Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Je, unadhani nini kimechangia hali hii?
Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?
Tuambie maoni yako nasi tutayasoma kwenye #AzamNews ifikapo saa 2:00
Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣
3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Acheni kutupanga hivi nchi hii kuna mtu alipi kodi, hivi miamala kwenye sim , malipo kwenye luku , maushuru mbalimbali ikiwemo maegesho ya magari sio kodiIdadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Je, unadhani nini kimechangia hali hii?
Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?
Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣
Wewe hulipi kodi mkuu. Kama hujakadiriwa na TRA huwezi kujihesabu kama mlipa kodiAcheni kutupanga hivi nchi hii kuna mtu alipi kodi, hivi miamala kwenye sim , malipo kwenye luku , maushuru mbalimbali ikiwemo maegesho ya magari sio kodi
Kwa nini mnataka fanya watz wajinga sana ,pumnavu
Ndio Mkuu , kundi hili huenda wamefunga biasha au kampuni. Kwa wafanyakazi walioacha kazi sidhaniHatari sana tumepoteza walipa kodi 1,000,000.
Asilimia kubwa sana, serikali itoke na kutuambia nini kimetokea.
Yaani 30% ya walipa kodi wametoweka kwenye thin air ila TRA kasifiwa kukusanya zaidi ya trilioni 2 kwa mwezi.Acheni kutupanga hivi nchi hii kuna mtu alipi kodi, hivi miamala kwenye sim , malipo kwenye luku , maushuru mbalimbali ikiwemo maegesho ya magari sio kodi
Kwa nini mnataka fanya watz wajinga sana ,pumnavu
Huu ndo upuuzi sasa tunalisha watu, mfanyakazi kila mwezi analipa kodi je lini TRA imemkadiria , so mfanyakazi wa tz sio mlipa kodi kwa sababu hajakadiriwa na TRA ?Wewe hulipi kodi mkuu. Kama hujakadiriwa na TRA huwezi kujihesabu kama mlipa kodi
Mkuu ikikupendeza ebu fafanua vizuri, sijaelewa mkuu wanguYaani 30% ya walipa kodi wametoweka kwenye thin air ila TRA kasifiwa kukusanya zaidi ya trilioni 2 kwa mwezi.
Na kati ya hao 3.3m, nadhani 500k ni wazee wa paye, hivyo waliobaki kulipa kodi ni kama 1.8m
Itoshe kusema "anaupiga mwingi, mitano tena"
Pamoja na kwamba Boda boda zaidi ya 1m wameongezeka?Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.