Jinsi Malkia wa Sheba Alivyomnasa Mfalme Solomon Ndani ya Sekunde 4 Mpaka Akawasahau wake Zake 1,000

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,793
Ilikuwa ni Miaka 970 BC...

Ndipo Queen of Sheba aliposikia Habari za kidume Kimoja Kutoka Israel...

Sio Mwingine ni..."King Solomon"
Malkia wa Sheba Kutoka Katika Ufalme wa "Axum" huko Ethiopia..
Alisikia Sifa za Mfalme wa Israel Kwamba...Ana Busara, Maarifa na HEKIMA isiyo na Mfano...Lakini...
Kilichomvutia Zaidi Malki wa Sheba ni Pale aliposikia Kwamba...

Mwamba ana...Wake 700 na Masuria (Concubines) 300

Yaani Jamaa alikuwa ana Wanawake 1,000

Na Wote alikuwa anawaridhisha Pila Kupaka Hata punje ya mkongo...

Malkia wa Sheba akawa interested sana...

Kwanini?...

Kwasababu Hii Ipo Almost Kwa Kila Mwanamke...Yani Psychologically wanawake Wanapenda sana "COMPETITION"

Pia wanakuwa Interested na Wanaume waliozungukwa na wanawake Wengi

Kwanini?...

Kwasababu ya Kitu kinachoitwa...

"Fame BRAIN au Pre-selection"

Fame BRAIN au Pre-selection Law inasema The More Attention you get from Other Women...the more she will WANT you"

Yaani...

"Your Attraction increases in Proportion to the Eagerness of other Women"

(Soma Tena Hiyo)

Anyway turudi Kwenye story au sio?...

Baada ya Queen of Sheba Kusikia Habari Hizi za King Solomon akachanganyikiwa...

Huku Kichwani akiwa na Maswali kibao Kuhusu Kidume Cha mbegu King Solomon...

Wakati Huo kumbuka pia Queen of Sheba alikuwa hashikiki...yaani ni Kisu hasa sio Kawaida

Unaambiwa Queen of Sheba alikuwa Mrembo Kumzidi Cleopatra wa Misiri..ambaye ni the Greatest seducer of All time...

Kwahiyo...

Queen of Sheba akaanza kujiandaa Ili akamuone Cassanova wa Kipindi hicho..."King Solomon"

Ilimchukua Miaka 3 Queen of Sheba Kujiandaa Pamoja na kuandaa Zawadi Za kumpelekea King Solomon huko Israel...

Ikiwemo Mazuria yaliofumwa Kwa Nyuzi za Dhahabu nk...

Kabla ya Kufunga safari...Queen of Sheba akatuma ujumbe Kwa King Solomon Kwamba...

"Anahitaji Kwenda Kumuona"

Baada ya Mzee baba Kusikia Pisi ya Dunia Inajileta yenyewe akachanganyikiwa Kwasababu alishasikiaga pia Habari za Malkia wa Sheba...

King Solomon Bila kuwaza mara Mbili Akakubali...(Kitaani tunasema akatuma nauli )

Queen akaanza safari Kutoka Ethiopia Kwenye Israel...

Na safari yakeIlichukua Takribani Miaka 7

Queen of Sheba baada ya kuona amekaribia...

Akatuma wawakilishi wake Ambao wanaheshimika mno...

Lakini...

Hawa wawakilishi wake hawakwenda Mikono mitupu...

Walibeba Zuria Kubwa Laini Lilolifumwa Kwa Nyuzi za DhahabuWalipofika Kwa Mfalme wakwamwambia...

"Mfalme tumekuletea Hii Zawadi ya Zuria Kutoka Kwa Malkia wa Sheba"

Lakini...

Zuria hili linaambatana na Maelezo Muhimu Kutoka Kwa Malkia Mwenyewe..

Maelezo Gani hayo?...Mfalme akauliza...

Wakajibu Queen amesema Hili Zuria ukalifungulie Chumbani kwako Ukiwa peka Yako"

Mfalme Solomon akashangaa...

Kwasababu Hawajawahi kupangiwa Cha Kufanya na mke wake yeyote yule...

Ila Mwishoni Akasema Sawa...

Akawaamuru Watumishi wake walibebe Taratibu lileZuria Mpaka Chumbani kwake...

King Solomon baada ya Kuingia Chumbani na Kubaki Pekee yake...akawa anafungua Lile Zuria Taratibu kama Jinsi alivyoambiwa...

Mara ghafla...

Akamuona Mwanamke aliyeumbwa akaumbika anatoka Ndani ya Zuria...

Mtoto kiuno nyigu Nyuma"Hello My King...it's me Queen of Sheba"

Mfalme akalegea Mwili Mzima Mpaka unyayo...

Unaambiwa...

King Solomon alikaa Ndani na Queen of Sheba Kwa Siku 365

Bila kujamiana na Mke wake wale Suria wake yeyote...

Na Wala hakutamani MwanamkeMwingine yeyote Zaidi ya Queen of Sheba...

Ina Maana Queen of Sheba alimfanya King Solomon awasahau wanawake zake Wengine 1,000

Na King Solomon alipoulizwa...

Kwa Maneno yake Mwenyewe alikiri na Kusema..."NdaniAwasahau wake zake 700 na Masuria 300

Kwasababu Hizi Siku 365 Kwangu zimeonekana kama ni Siku 7 Tu
Queen of Sheba alitumia Mbinu Gani Mpaka Kumfanya King Solomon
AwasahauNi Hatari kiasi Kwamba Mwanamke yeyote akizijua anakuwa na Uwezo wa Kuvunja Ndoa za Watu Ndani ya Week Moja Tu...Kitu Ambacho Sitaki kukiona

Ila...
.
Ukizitumia Mbinu hizo Kwa Mme wako basi atasahau michepuko yake yote

Baadhi ni Mchanganyiko wa wake zake 700 na Masuria 300?...

Vitu Vyote Hivi Viliandikwa na King Solomon na kuwekwa Katika Kitabu Cha Siri Kinachoitwa...

"The Confession of King Solomon"

Kilikuwa BANNED na sidhani kama Utakipata kirahisi online

Siri alizoweka Humo Vyakula Ambavyo vingine Vipo Hata Ndani ya Friji Yako nyumbani Kwako

Credit: Amos Nyanda Twitter
20221206_103349.jpg
20221206_103346.jpg
 
Ilikuwa ni Miaka 970 BC...

Ndipo Queen of Sheba aliposikia Habari za kidume Kimoja Kutoka Israel...

Ndio Upo Sahihi

Sio Mwingine ni...

"King Solomon"
Malkia wa Sheba Kutoka Katika Ufalme wa "Axum" huko Ethiopia..
.
Alikia Sifa za Mfalme wa Israel Kwamba...
.
Ana Busara, Maarifa na HEKIMA isiyo na Mfano...

Credit: Amos Nyanda TwitterView attachment 2437468View attachment 2437469
Nitaisoma aiseee
 
Wachambuzi wanasema utajiri wa Solomon toka kwenye Bible kwa pesa ya kileo ni net worth ya $2.1 Trillion, mara 10 na zaidi ya Elon Musk.
1670316774113.png

japo sikubaliani na hao wachambuzi kani Bible na Quran vyote vinasema utajiri wake haukuwahi na haitotokea, Quran inasema huyo malkia wa Sheba alishangaa alipokaribishwa kwa Suleiman, alifika kwenye kasri la Suleiman akataka kupandisha nguo(gauni) akidhani ni maji, kumbe ni tiles tu. malkia wa Sheba ushamba ulimtoka.

Unaambiwa Suleiman kiti chake kilikuwa kinabebwa juu juu kwa upepo anaelea juu, aisee hii dunia hakuna kigeni.
 
Wachambuzi wanasema utajiri wa Solomon toka kwenye Bible kwa pesa ya kileo ni net worth ya $2.1 Trillion, mara 10 na zaidi ya Elon Musk.
View attachment 2437490
japo sikubaliani ni zaidi mara zaidi, Quran inasema huyo malkia wa Sheba alishangaa alipokaribishwa kwa Suleiman, alifika kwenye kasri la Suleiman akataka kupandisha nguo(gauni) akidhani ni maji, kumbe ni tiles tu. malkia wa Sheba ushamba ulimtoka.

Unaambiwa Suleiman kiti chake kilikuwa kinabebwa juu juu kwa upepo anaelea juu, aisee hii dunia hakuna kigeni.
ushamba
 
Pamoja na kuwa na Wanawake 1001 (plus huyo Queen of Sheba) lakini bado inaonekana aliweza kuwaridhisha.

Saivi Mwanaume anakuwa na Mke Mmoja tu lakini Wakati mwingine hadi kupata usaidizi wa Mkongo/Mundende n.k ili kuweza kumridhisha.

Sijui Wanawake wa Kisasa Wana nguvu nyingi au ni vile tumeadhibiwa kinamna kwa kupunguzwa nguvu za Kiume 😢
 
Back
Top Bottom