Duh nini, mnasaidiwa bado mnaguna duh kama Nyangumi anazaa.Duuh
Tobaa , vipi kwani mawee! afu huo si msaada kwetu bali yeye ndye anayehitaji kurahisishiwa mchakato wake mfyuuDuh nini, mnasaidiwa bado mnaguna duh kama Nyangumi anazaa.
Achaneni nae kwani lazima aoe humu!Tobaa , vipi kwani mawee! afu huo si msaada kwetu bali yeye ndye anayehitaji kurahisishiwa mchakato wake mfyuu
Fanyeni kuorodheshaDuuh
njoo tuyajenge sasaNamba moja kwenye orodha
[emoji3] [emoji3] ,si lazima ila inawezekana kuoa humu pia, ila sasa mleta mada huo mkakati Wa kujiorodhesha majina huoni wadada wa watu watapata tabu sana huko Kwa inbox?Achaneni nae kwani lazima aoe humu!
Hahaa, unataka kufanyia nini hayo maorodhesho Antonio?,kama umepania hiviiFanyeni kuorodhesha
Hilo cheko vp...mama giles hivi na ww ni single??Hahahahaaaaaaaaaa
Muoe Faiza.Hapana mkuu, si lazima nioe humu lakin kabla sijaenda nje lazima nihakikishe nimekoswa humu.
Awali ya yote natanguliza salamu zangu kwenu members wote wa JF.
Niende moja kwa moja kwenye maada Mimi ni kijana mwanaume, ambaye sijaoa bado, na najua bado kuna idadi kubwa tu ya vijana wenzangu ambao tunahitaji wake kama si leo basi ni hivi Karibuni.
Ombi langu ni kutaka kujua takwimu ya wadada masingle/ ambao hawajaolewa tujue idadi kwamba tunao wangapi humu jf ili tujue tunapotangaza ndoa tuwe na uhakika wa matarajio yetu kwa asilimia ngapi.
Kwan tunao uhakika kuwa jf kuna wadada wazuri sana, waliosoma na wenye nia njema na maisha ya ndoa, naomba wadada ikiwezekana orodhesheni majina yenu humu tuwatambue ili kurahisisha upatikanaji pale mnapohitajika. Ahsante!