Idadi ya vituo vya kura ni vingi kuliko Polisi

Idadi ya vituo vya kura ni vingi kuliko Polisi

Huko kwa dada ni mwendo wa nuclear tupu ,Acha nilale nitalikuta hilo bomb asbhi
Ila mange🙌🙌🙌🙉😃😃😃
Umeamka salama mkuu?
Sijui kwanini sipendi kuingia kwenye page za huyo dada yetu wa taifa.
Embu nipe kwa kifupi kuna nini amepost?
 
Unaishi na familia wote mkikosa HAKI!
Wasiwasi wangu ukiandika sana hapa mikakati. Usipojua kuficha utambulisho wako.
Wanakuondoa kabla ya kuandamana.
Siku ya kuandamana ni salama zaidi kuliko kuandika haya mitandaoni. Sababu siku ile mnakuwa wengi, wakati siku ukiandika wanakufuata kukuteka unakuwa peke yako.
 
Umeamka salama mkuu?
Sijui kwanini sipendi kuingia kwenye page za huyo dada yetu wa taifa.
Embu nipe kwa kifupi kuna nini amepost?
Yes ,I'm gud mpendwa

Duh ,aisee shida nn kuonhia na kupna yanayoiiri na kutoka?
Maana ht tukusema tusinulue hapa unasnza lipi unamaliza na lipi
Ni mambo yaliyo na yanayoendelea kufanyika ,wizi kupitia makampuni kina bashe etl with full evidence...vitu km hivyo
 
Back
Top Bottom