kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
Dunia ni sayari ni sidhani kama humu duniani kuna sayari nyingine.
Na ukifuatilia sana huyo muanzishaji wa uzi ana first class degree. Ndo elimu yetu.
Dunia ni sayari ni sidhani kama humu duniani kuna sayari nyingine.
Why ask if you can Google?
shehe duniani hakuna sayari,labda anga za mbaaaliii na huko kuna billions of confussionwakuu kwa sasa dunia ina sayari ngapi maana nasikia kuna ugunduzi wa sayari nyingine zaidi ila sijajua ni ngapi. Kwa anayefahamu atupie na majina yake.
Ok, ok, kuna sayari ya Auatralia, sayari ya Amerika, sayari ya Ulaya n.k. pia kuna sayari ndogo kama Tanzania, Kenya, China, Brazil, n.k. ndizo sayari zilizopo duniani. Ungeongela Universe ni kitu kingine mkuu.
Unazidi kukoroga. Unadhani kuna jua moja? Pengine ungeweka sawa kwa kusema 'hili jua' tunaloliona na kupata mwanga wake.
Michango ya kimzaha (kitoto) kama hii , ndiyo isababishayo Jf's registered matured members wengi wanahama foramuni .
Nadhani swali lingekuwa hivi.....KUNA SAYARI NGAPI KATIKA MFUMO WA JUA?
Mkuu unataka useme kuna JUA jingine zaidi ya hili tulilolizoea?
Dunia ni sayari
ila kuna sayari zingine
Mi nazijua tisa.. Mercury venus earth mars jupiter saturn uranus neptune na pluto
Uliza hivi !?h
Ulimwenguni kuna sayari ngapi ?!!