apakak
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 896
- 662
Universe ni kitu cha ajabu.Kuna solar systems zenye binary star system yani ma-jua mawili yanazunguka in perfect harmony.Kama Earth ingepatikana kwenye hii system tungekuwa tuna experience two sunrises and sunsets
Kuna solar systems zenye jua(nyota) zinazozunguka kwa kasi ya ajabu na kutengeneza artificial radio frequencies yani Pulsars
Kujua idadi kamili ya planets kwenye solar system ni mtihani mkubwa kwa maana planets hazitengenezi mwanga.Telescopes zinapata tabu kukamata miale ya mwanga wa hizo planets