Wakuu kwa sasa dunia ina sayari ngapi maana nasikia kuna ugunduzi wa sayari nyingine zaidi ila sijajua ni ngapi. Kwa anayefahamu atupie na majina yake.
Unazidi kukoroga. Unadhani kuna jua moja? Pengine ungeweka sawa kwa kusema 'hili jua' tunaloliona na kupata mwanga wake.Labda mkuu badilisha mfumo wa swali kwa namna hii "je kuna sayari ngapi zinazolizunguka jua?"
Halafu hili ni somo la darasa la tatu. Ebu leteni maswali yanayolingana na umri na hadhi ya wanaoingia hapa JF
Embu nipe hata jina moja la sayari ambayo imegunduliwa wewe JF SENIOR EXPERT MEMBER
Kuna mambo unayopaswa kuyamalizia kwenye google. Usitake kila kitu ufanyiwe.Embu nipe hata jina moja la sayari ambayo imegunduliwa wewe JF SENIOR EXPERT MEMBER
Why ask if you can Google?Idadi ya sayari zinazolizunguka jua kwa sasa ziko ngapi. Utakua umenipata hapo.
Hakuna sayari mpya ndani ya dunia. Unaweza kugundua gesi, mafuta au madini katika dunia lakini huwezi kugundua sayari ndani ya sayari. Kwa hiyo hakuna hicho unachouliza kama ulivyotaka kujua ktk headline ya mada hii.Embu nipe hata jina moja la sayari ambayo imegunduliwa wewe JF SENIOR EXPERT MEMBER
Embu nipe hata jina moja la sayari ambayo imegunduliwa.
Kama kweli mtu anaweza kuingia jf na hizi you-tube, tv lakini hajui dunia na ulimwengu vinatofautianaje ni wazi cha kulaumiwa ni mfumo wetu wa elimu!Elimu ya tanzania sasa inachungulia kaburi. Kama mtu huwezi kutofautisha earth na universe ni shida!
Hakuna sayari mpya ndani ya dunia. Unaweza kugundua gesi, mafuta au madini katika dunia lakini huwezi kugundua sayari ndani ya sayari. Kwa hiyo hakuna hicho unachouliza kama ulivyotaka kujua ktk headline ya mada hii.