Idadi ya madada poa Dar es salaam...

Idadi ya madada poa Dar es salaam...

Nirudieni mm nasamehe, geukeni sasa niwaponye, asema bwana wa Majeshi....
hii biashara, wanaoifanya wanaoinunua na wanaisapoti kwa namna yeyote ile inapaswa wajue kuwa hii ni machukizo mbele za muumba. ni sala zangu siku moja mambo kama haya yasiwepo duniani. Amen.
 
ikifika mwakani siku kama ya leo idadi itakua mara mbili ya hiyo hapo juu. maisha magumu, hakuna ajira..
 
hao ni wale wanaorandaranda barabarani, kwenye ma-bar na kumbi za starehe. hamjawainclude wale proffessional wanaokaa maofisini. idadi itakua mara 3 ya hiyo
 
siku moja jamaa yangu alikuwa anataka ishu kumshitua dada mmoja si akamwambia bei jamaa akaruka akasema kiasi alichokuwa nacho dadapoa akamwambia haitoshi kama vipi asubiri apige kwanza kazi alafu mida flani ndio waende wakajinafasi.
 
kadri siku zinavyoenda hata kaka poa wanazidi kuongezeka. ni vizuri tukijadili hili tupate pia idadi ya kaka poa. mleta mada acha steriotype
 
Wenyewe wanaojiita nchi zilizoendelea ukahaba umeongezeka kwa kasi ya ajabu.Tena sasa ndo wamepata sababu,wanadai economic crisis ndo imesababisha mpaka akina mama na wake za watu kujiuza.
Juzi hapa niliona reality tv talk show mi mwenyewe nilikoma na hawa watu.X-husband anamlalamikia x-wife kwamba nyumba aliyomwachia na watoto kaifanya danguro la shughuli zake.Mama kaja juu,anasema watoto wameshakuwa teen age,kwa hiyo wanaelewa kinachoendelea.Yeye hana kazi ya kueleweka,na hela anayopokea kwa mwezi haitoshi,kwa hiyo inabidi ajiuze tu hapo nyumbani,na watoto hawapandi juu mpaka saa mbili usiku.
Ubishani ukaendelea,lakini kwa vile mama havunji sheria,ilibidi aachwe aendelee na biashara kwa masharti ya kupunguza masaa ya kazi,ili watoto warudi home mapema.Yaani aanze saa mbili hasubuhi mpaka saa kumi jioni.
Kaazi kweli...
 
Ubora wao umethibitishwa na TBS?
 
hao ni wale wanaorandaranda barabarani, kwenye ma-bar na kumbi za starehe. hamjawainclude wale proffessional wanaokaa maofisini. idadi itakua mara 3 ya hiyo

pia wanaohaha kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kusingizia wanasaka wachumba kumbe lao moja,waya mkali.
 
Vya ANGAZA???????temea mate chini,hivyo vimejaa kariakoo kama njugu
 
Hivi tunajua vizuri maana ya KAHABA? kuna tofauti kubwa sana kati ya Kahaba na Dada Poa
 
Kuna haja ya kuoa au kuolewa? Wenye ndoa poleni sana.


عفثا بهايل يشئ ىل تبق فص‎ ‎
 
Wakiwa 7,500 hapo ujue wateja ni mara mbili au tatu....estimate watakuwa 22,500 hivi.

Ni vizuri wakafanya tahmini vizuri. Takweimu hazijakaa sawa kwani Wateja hawajulikani idadi yao.

kama kungelikuwa hakuna wateja bila shaka wangeacha hii biashara. Laini wa kuwa idadi ya wateja wanaongezeka na ndio nao madada poa wanaongezeka.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwa siku dada poa mmoja anaweza lala mpaka na watu watano..zidisha mara 7500 then mara 5 kwa wiki then mara 12...utapata avarage ..na hii ni kwa dar tu bado arusha mwanza mbeya na kwengineko

450,000..unaona ichukuliwe hatua gani?

mimi binafsi naona waillegalize tu, i know it doesnt go well with Tanzanian culture and tradition lakini hamna jinsi, its out of control..unaonaje?
 
Nirudieni mm nasamehe, geukeni sasa niwaponye, asema bwana wa Majeshi....
hii biashara, wanaoifanya wanaoinunua na wanaisapoti kwa namna yeyote ile inapaswa wajue kuwa hii ni machukizo mbele za muumba. ni sala zangu siku moja mambo kama haya yasiwepo duniani. Amen.
wanatimiza unabii mkuu
 
ikifika mwakani siku kama ya leo idadi itakua mara mbili ya hiyo hapo juu. maisha magumu, hakuna ajira..
tena sasa hivi tunawatizama zaidi walio barabarani lakini wa majumbani ni wengi zaidi na ukweli ni kwamba wanawake wengi hufanya hivi kusaidia watotowao kwani wanaume wengi wanajua kutungisha mimba tu then wanaingia mitini.........men love foor sex, women sex for love and the end is a misery to women
 
Back
Top Bottom