Mambo ya kimboka na corner bar,ngoja wadau waje,wamo humu
D 007 inafaa wapewe TIN na kufungulia mafaili kwa ajili ya kulipa kodi ya mapato; kipato kinazidi Mhitimu wa Chuo Kikuu anayeajiriwa kwa mara ya kwanzaKwa siku dada poa mmoja anaweza lala mpaka na watu watano..zidisha mara 7500 then mara 5 kwa wiki then mara 12...utapata avarage ..na hii ni kwa dar tu bado arusha mwanza mbeya na kwengineko
Siyo lazima huko, vituo vya Akiba na Posta mpya wapo mchana kweupee. Watu wanachagua pale na kupiga. Ukitaka kuwajua ni mpaka upoteze muda kidogo, hawapandi gari na hawana dhamira hata kidogo,.
kwani nini huanza!!!!huanza mteja ikafuata bidhaa au bidhaa huanza na mteja kufuata!!!Ni vizuri wakafanya tahmini vizuri. Takweimu hazijakaa sawa kwani Wateja hawajulikani idadi yao.
kama kungelikuwa hakuna wateja bila shaka wangeacha hii biashara. Laini wa kuwa idadi ya wateja wanaongezeka na ndio nao madada poa wanaongezeka.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mtemi wa kwetu vipi mambo yameumana nini?..mbona mkali hivo......naona mada imetulia kabisa kujadili other source of government taxes ambayo ni unperishable mkuu,we uoni wanyama wanapelekwa Ulaya,madini tunaachiwa mashimo,misitu wanauziwa waarabu...sasa ni vema kufikiri vyanzo vingine mapema kabla hazina haijakauka.Embu toeni mada zenye akili. Sasa umeanzisha mada gani? watu wengine bana. Kwanza hayatuhusu. Ni maisha yao.