Haya mambo achaneni nayo, kabisa sana inchi yetu ina umizwa na wachache walio jimilikisha, mm binasifi kwenye kazi yangu sija wahi kukwepa Kodi, lakini nina umia sana ninapo ona Kodi yangu hakuna mtu ana ilinda ili ijenge inchi badala yake ina liwa tu na baadhi ya wajanja.
Rejea ripoti ya s.a.g hakuna hata mmoja wao ame chukuliwa hatua badala yake ina takiwa watajwe tu ili waone aibu.
Sisemi Wani letee unga kwangu hapana, lakini hizi Kodi ninazo lipa ziende moja kwa moja kwenye ujenzi wa taifa letu kwa manufaa ya taifa, sio baadhi ya wachache washibishe matumbo Yao Kisha watajwe waone aibu. Wakati kwenye kulipa Kodi nabanwa mbavu.