Ukiangalia huo mgawanyo (kama upo sahihi) ndipo unaona siasa za Jiji la Dodoma kuwa ndio linaongoza hivi sasa kwa mapato! Yaani wakati Dar es salaam imesajiri miradi 109, Dodoma imesajiri miradi 5!!! Ajabu ya hii serikali usikute baadhi ya kampuni zimelazimishwa kodi zao walipie makao makuu ya nchi ili hatimae ionekane Dom ndie mkusanyaji mkubwa wa mapato wakati kiuhalisia mapato yahusika yanazaliwa kwenye mikoa mingine!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.