SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,270
Ni kweli, hiki kitu sijakiona. Huu ni mwaka wangu wa nne hapa jf, na ID za wadada wa Jf
ni za aina aina pamoja na zenye neno 'miss', 'madame'.
Lakini sijakutana na id ya mdada yenye neno 'mrs.' Hii inanishangaza.
Kwa nini hivyo? Je, wadada hawataki kutoa taswira kwamba wameolewa?