ICT Technician

Magarinza

Senior Member
May 9, 2008
122
13
Wanajamii naomba kwa mwenye taarifa juu ya nafasi ya IT Technician anitaarifu.
Nimemaliza form six, na nimefanya kozi ya CISCO PC HADWARE &SOFTWARE.
Nipo Dom no: +255765 295639
 
Tembelea mara kwa mara humu humu (jf) utapata chance,maana mara kwa mara nafasi zimekuwa zikitangazwa sana ila uombe Mungu pia maana haya mambo huwa ni magumu sometimes usipo mshirikisha Yesu.
 
Ict inajumuisha vitu vingi sana kwahiyo wewe ni technician na vitu vyote vinavyohusiana na ict ? Angalia babu usije ukifunga makamba mengi
 
Ict inajumuisha vitu vingi sana kwahiyo wewe ni technician na vitu vyote vinavyohusiana na ict ? Angalia babu usije ukifunga makamba mengi
Tofauti ya It na ICT ni nini?
 
Back
Top Bottom