Kwa alie tayari ambae yupo DSM na yuko vizuri kwenye web design ani inbox, natafuta mtu wa kunifundisha hiyo course kwa language zote lakini ni kwa muda wa jioni tu. Shart awepo karibu na Magomeni ili iwe rahisi mm kumfuata alipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.