icloud unlock for iphones

Natumia iPhone 6 iOS 11 nakula raha tu
 
Kumbe zinakuwaga makopo
ndio Nimejua Leo. Android wakopoa sana. Haya makitu hayapo Kule
 
kweli na mm kuna jamaa alinunua iphone 5 akaangaika sana ikashindikana kuna mpakistani akasema yeye anafunguaga mi nikamwambia hizo simu wameshindwa FBI itakuwa yeye katoka kashmir huko....kwa sababu alikuwa jamaa yangu akamwambia ampe akiwa free atamfungulia within a week jamaa akairudisha simu kaifungua....simu zinafunguka ila haina guarantee kama samsung yaani ni lazima ifunguke
FBI hawakushindwa kufungua simu..bali walitaka data na vitu vilivyomo kwenye simu visipotee,,,nadhani wengi wanaofungua data nyingi zinapotea
 
Mkuu unajua what you are talking about lakini? Utafanya vipi social engineering kwa email ambayo huijui kabisa? Ingekuwa laini saivi zingekuwa zinatolewa tu. Kuna services wanatoa icloud lakini sio simu ambazo zipo blacklisted. but not you my friend
 
Well said
 
Hata uwe unataka data au hutaki hiyo kitu haipo haiwezekani
 
Mkuu hizi service ndio unakuja kutuaminisha kuwa eti umetoa icloud lock πŸ˜€ πŸ˜€ ebana mtawapata wasiojua iphone.

Kabisa hapo umeonesha kuwa kuwa service ulotumia ni ya kuchek info za icloud by imei πŸ˜€.... hujatoa lock hapo bado πŸ˜€ πŸ˜€
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…