Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
IPad yangu imezingua kuda mdogo wangu alikua anacheza game kilichokuja kutokea ni kujilock kwa hiyo inadai ni activet Icloud acaunt nimejaribu nimeshindwa msaada Tafadhali.
Acha utani mkuu kama una ufahamu wowote nisaidie mimi ndiyo mmilikiMrudishie mmiliki halali
Kuna jamaa nilimpata humu JF, yeye alinitolea icloud kwenye Ipad mini remotedly. Yeye yupo Dar mimi nipo nje ya nchi.
Nilihakikisha katoa lock kwenza ndio nikamtumia pesa yake kwa njia ya paypal.