ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

walikwenda Mahakamani juu ya suala la mita 200 wakagonga ukuta wakati serikali iliwaambia ni ruksa kukaa mita mia mbili walivyojifanya wajuaji na kukimbilia mahakamani wakaambiwa hata hizo mita mia mbili hamruhusiwi kabisaa piga kura nenda kwako ukionekana cha moto ni stahili yako nijuavyo mimi wanasheria wa UKAWA WAKO kiuchumi zaidi na wanatumia msemo wa TUMGIDIE ----- EL atatoa pesa wakatalii uholanzi kisha warudi hapa kimyaaaaaaaaaaaaa ni kweli mali ya mjinga huliwa na wajanja.

Mwambieni EL aachie hata za kutoa sadaka na ajenge chuo kikuu cha Monduli kwa heshima yake na kizazi kijacho atakumbukwa kwa hilo badala ya kutapanya fedha kwa kung'ang'ani URAIS ambao umeshamgomea kila anapojaribu kuupata toka 1995.

Atakumbukwa kama shujaa wa elimu na siyo shujaa wa kutafuta URAIS MFIKISHIENI UJUMBE WANGU NA AUFANYIE KAZI KWANI HAKUNA NAMNA YOYOTE ANAYOWEZA KUFANYA AKAINGIA IKULU.

Ndg nadhani huelewi kwamba huelewi. Mhe Kibatala aliomba ufafanuzi wa kisheria. Hukumu ndio imezidi kuwa ya kuchekesha na kutia Shaka. Vituo vyote hapa nchini viko kwenye makazi ya watu, sijui hizo mita Mia mbili zipatikane wapi, labda kwenda juu. Ingawa Baba Ritz alishangilia pale jangwani, Hakika hata watoto wadogo walijua kuwa haitekelezeki labda vituo vya kupigia kura vihamishiwe mbuga za wanyama. Sasa kwa nini waliing'ang'ania ndio tunazidi kuliona.
 
Wanaukawa waislamu NA wakristo KAMA mngewaamini MUHAMAD NA YESU KRISTO KWA KIWANGO MNACHOMWAMINI MBOWE MGEKUA WATU WA PEPONI.KILA MNACHOAMBIWA MNAKUBALI BILA KUTUMIA AKILI ZENU.ACHENI KUDANGANYWA .
 
attachment.php


Angalia za tume na zilizoletwa humu ndio utajua kuna watu wanaleta taarifa za uongo
 

Attachments

  • Matoke ya Jumla ya Urais.jpg
    Matoke ya Jumla ya Urais.jpg
    67.9 KB · Views: 250
attachment.php
attachment.php


Kwa upande wangu baada ya kuangalia zote mbili nimeona hiyo "Linda ukawa supporter" imechakachuliwa. Wenzangu sijui mmeona?
 
Ungeandika kwa kiswahili, nina hakika huu uzi ungepata wachangiaji wengi na kupelekea ujumbe kuwafikia walio wengi aiseee

Mkuu nakubaliana na wewe shida ya wafuasi wa Chadema ni elimu ndogo hivyo wanabisha kitu kimeandikwa hapo wazi kwi kwi kwi kwi!
 
Mimi sishangai kama kweli UKAWA wamekwenda ICJ. Hii ni hatua ya viongozi wao kujustify kwa wafuasi wao wengi wakiwa ni wanywa viroba kwamba at least they are doing something. Ni lazima wawaaminishe wafuasi wao kuwa kura zimeibiwa na CCM kwani wasipofanya hivyo wanywa viroba wanaweza kabisa kuwageuka viongozi wao. And, there is no one who can predict what will happen kama wanywa viroba watamgeuka MBOWE, LOWASSA and company.
 
Waliitwa malofa na mapumbavu sio bure. Hiyo ni njia ya waliomchagua Lowassa kinyemela kugombea kuwafanya wanachama wao wasijikite kumjadili Mbowe na kundi. Si unawaona wanavyofanywa mapimbi? Mara Rais Magufuli haapishwi,mara hapewi cheti ilimradi ni balaa tu. Mchawi wanae ndani wanamtafute nje. Zigo wameshushiwa na Ccm linawasumbua

Mi nashangaa kuna watu na elimu yao wanashabikia upuuzi huu na kukubali kudanganywa na Mbowe wakati wana elimu kuzidi Mbowe!
Hiyo ICJ hata ukiwauliza hawajui shughuli zake. Lakini wanameza tu wanacholishwa!
 
Mkuu kama madai ya ukawa ni ya kweli ikithibitishwa hivo na mahakama. Huyo magufuli ataapishwa lakini kuna hatari ya nchi kususiwa na jumuia ya kimataifa. Sasa fikiria tu wazungu wakikata misaada Tanzania itaishi vip

Wazungu walishasema uchaguzi ulikuwa huru na haki wasuse nini acha porojo wewe.Halafu wazungu gani wasiomjua Lowasa kuwa ni kibaka? Walizuia hadi misaada kwa Kashfa za Richmond wakitaka mhusika awajibishwe.Alipowajibishwa akatolewa uwaziri mkuu misaada ikarudi.

Halafu Mwekezaji mzungu gani ana hamu na Lowasa HUYU ANAYESEMA mikataba yote ya uwezkezaji ataipitia upya ikiwemo ya gesi,madini na mafuta unafikiri wazungu watataka Lowasa ashike nchi aingilie mikataba yao ya mabilioni ya dola waliyowekeza? Acha hizo. Lowasa mbele ya jumuiya ya kkimataifa si lolote si chochote
 
Hii ni gia tu ya kuwapoteza mabwege wao.Wakirudi kutoka huko kutalii watawaambia mambo yanakwenda vizuri.Mbwa wameshamjua jina basi hawapati hata tabu.
 
Mbona kote mlikoshinda KURA hazijachakachuliwa.NA KAMA UCHAGUZI si halali Mbona mbowe NA mbatia hawajiuzulu nafasi zao kuping matokeo?
 
Wanaukawa waislamu NA wakristo KAMA mngewaamini MUHAMAD NA YESU KRISTO KWA KIWANGO MNACHOMWAMINI MBOWE MGEKUA WATU WA PEPONI.KILA MNACHOAMBIWA MNAKUBALI BILA KUTUMIA AKILI ZENU.ACHENI KUDANGANYWA .

Hata hesabu za uwongo unataka tusiamini? Unataka tusiamin kuwa tume inatumika na ccm? Unataka tusiamini kama uchaguzi si huru ispokuwa ni uteuzi tu?
 
Mkuu nakubaliana na wewe shida ya wafuasi wa Chadema ni elimu ndogo hivyo wanabisha kitu kimeandikwa hapo wazi kwi kwi kwi kwi!

Wanachama wa CCM ndio wanaongoza kwa kuwa vilaza.

Kuanzia kwa viongozi wao.
 
Don't mislead people wew kilaza wa ccm

Sasa kwa nini unaomba waache wakati unatudanganya kuwa mahakama haina jukumu hilo? Kawashauri CCM waache wizi wa maamuzi ya wananchi.

Mbona mna wasiwasi sana nyie wezi wa kura? Hata Kama haideal wewe tulia si ndio vizuri kwenu? Ya nini kulia lia mbuzi kafia kwa muuza supu mmeingia choo cha kike kumuibia leigwanan.

Mtabisha sana hp jf nyie ccm mim nawaita malofa na wapumbavu original

Hii ni gia tu ya kuwapoteza mabwege wao.Wakirudi kutoka huko kutalii watawaambia mambo yanakwenda vizuri.Mbwa wameshamjua jina basi hawapati hata tabu.

Wanachama wa CCM ndio wanaongoza kwa kuwa vilaza.

Kuanzia kwa viongozi wao.

Mmedanganywa vibaya sana.
Eti ICJ.
Ingia hata google usome hiyo mahakama na mamlaka yake.
Afu mnatukana watu vilaza ha ha ha
 
Nani alitaka kujua mahakama ya ICJ kama inajihusisha na wizi wa kura au la.? Mmeanzisha wenyewe kwa interest zenu.mnahaha nini? Subirini.mvumilivu huonja 'mbivu' !!
 
1. ICJ - INTERNATIONAL COURT OF JUSTICE
ICJ ipo chini ya umoja wa mataifa huko malalamiko yanapelekwa na nchi wanachama pekee

2. ICC - INTERNATIONAL CRIMINAL COURT
ICC Imeanzishwa kwa makubaliano ya rome (rome statutes) watu binafsi (mfano uhuru kenyatta) wanaweza kushtakiwa huko.

3. Mpaka tarehe 1/11/2015 hakuna kiongozi yoyote wa CHADEMA aliyepeleka madai ICJ
 
Ukisoma dhumuni na maana ya ICJ utagundua kuwa ni mahakama inayohUsika na nchi kwa nchi na si internal affairs za nchi, ndio maana haijawah na haitawah kutokea nchi yyte duniani eti kubatilishwa matokeo na ICJ.

My take: Nawaomba wanaongelea mahakama ya ICJ na kesi ya wizi wa kura waache kwani raisi mteule ni magufuli na hakuna case itkayoenda ICJ.

Mkuu ungewaacha kwanza waendelee kupata soko la matshirt yao. Hapa umewamaliza kabisa.
 
Mimi sishangai kama kweli UKAWA wamekwenda ICJ. Hii ni hatua ya viongozi wao kujustify kwa wafuasi wao wengi wakiwa ni wanywa viroba kwamba at least they are doing something. Ni lazima wawaaminishe wafuasi wao kuwa kura zimeibiwa na CCM kwani wasipofanya hivyo wanywa viroba wanaweza kabisa kuwageuka viongozi wao. And, there is no one who can predict what will happen kama wanywa viroba watamgeuka MBOWE, LOWASSA and company.

Naomba kujuzwa hivi viroba ni bidhaa haramu kama gongo? Wanaozalisha viroba huwa hawalipii ushuru TRA? Kama ni bidhaa haramu serikali inaruhuje iuzwe kwenye mabaa? Ni wazi mnywa kiroba angependa awe anakunywa Heineken, Wine au hata grant, but hawezi na hana alternative. Lakini ni kweli pia kwamba kuna siku atachoka kuitwa mnywa viroba na pia atachoka kunywa viroba na atapenda naye anywe wine kama mleta uzi. Ikifikia hapo heshima itarudi kwa wote.
 
Maofisa wote wa serikali kuanzia rais, wakurugenzi (inc. Mzee Lubuva) mpaka wakuu wa wilaya na madiwani wanakula viapo vya kusema na kutenda ukweli wakiwa kwenye majukumu yao. Viapo hivi havihusishi katiba bali Vitabu Vitakatifu, kumbuka Mwalimu aliwahi kusema kuwa hata kama sio muumini wa dini basi watatafuta jinsi ya kumuapisha!|

Swali la msingi kwa Mtanzania yeyote mzalendo na mpenda haki (naomba ujiapishe mwenyewe kujibu ukweli kabla ya kujibu swali hili):

Je, uchaguzi ulikuwa huru na wa haki!?
Je, huo ushahidi walionao UKAWA ni bandia?
Ni kweli kwamba Mh. Kafulila hakunyang'anywa kwa nguvu ubunge!?


 
Back
Top Bottom