ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

Huu ni uzushi wa wanywa viroba tuu kuwa chadema wameenda ICJ... Wanasheria wote wa chadema wanajua nguvu na mipaka ya ICJ sio wauza na wanywaji wa Viroba wa Ukawa
 
Haya wewe kilaza unaejua kalagabaho kutetea mfumo wa wizi

Sitetei mfumo mwizi.
Napinga hii habari ya watu kuwadanganya wafuasi wao kuwa wameenda ICJ.
Ni uongo mkubwa.
Yaani kwa uongo sasa hivi chadema ishakuwa kama magamba tu
 
Sitetei mfumo mwizi.
Napinga hii habari ya watu kuwadanganya wafuasi wao kuwa wameenda ICJ.
Ni uongo mkubwa.
Yaani kwa uongo sasa hivi chadema ishakuwa kama magamba tu
Pole ukiwa na taifa lililo kwenye misingi imara ya ujinga unategemea nini?
 
Sitetei mfumo mwizi.
Napinga hii habari ya watu kuwadanganya wafuasi wao kuwa wameenda ICJ.
Ni uongo mkubwa.
Yaani kwa uongo sasa hivi chadema ishakuwa kama magamba tu

Mkuu, vijana wa ulipo tupo wanaomba kudanganywa ili kuzifariji nyoyo zao. Wako kama mateja wanaotumia madawa ya kulevya.

Waache waendelee kudanganywa. Lengo la kuwadanganya ni kuwaaminisha kuwa wameibiwa kura na mgombea wao alishinda.

Wajinga ndio waliwao...
 
1.Amdharauye mwenzake afanya dhambi; Bali amhurumiaye maskini ana heri.#Proverbs 14:21
2.Na alaaniwe amdharauye baba yake au mama yake. Na watu wote waseme, Amina.#Deuteronomy 27:16

Unatumia maandiko kama kichaa ukiambiwa ukweli unalalamika huo ndiyo ukweli wenu na KAMWE HAUTABADILIKA MAGUFULI NDIYE RAIS AMBAYE NI CHAGUO LA MUNGU huyo mnayelazimisha hakuchaguliwa na Mungu na Mamlaka hutoka kwa mungu angelikuwa ni chaguo la Mungu hata CCM asingetoka na sasa angekuwa Rais Mteule kumbuka Mungu hufanya kazi kupitia kwa wanadamu ni wanadamu haohao ndiyo waliotoa maamuzi kuwa Lowassa hafai kuwa Rais kupitia chama chao.

Kwa bahati mbaya mzee Lowassa hakujua uwepo wa Mungu katika maisha yake akaamua kwa jeuri ya pesa kwenda kununua chadema akidhani anagombana na Kikwete na wana CCM WENZAKE alipofika huko adhabu ya Mungu ilikuwa juu yake matokeo kutoka ameshindwa tena, lakini bado haelewi tu sasa hivi anadai ameibiwa kura zake bila aibu anafanya press release eti kura zake kaongezewa Magufuli hivi hata kama huna akili wabunge 188 na wabunge 76 nani mshindi? Unahitaji digrii kupata jibu hilo?

Tuwe wakweli jamani na tuitendee haki jamii tunayoiongoza na siyo kuwadanganya atasema uongo mpaka lini Mungu alishamkataa Lowasaa kuwa Rais wa Tanzania hata akifanyaje ni bure tu anahangaika na kupoteza muda kwa jambo ambalo haliwezekani. Na nyie wafuasi wake tumieni akili kufikiri na msiwe malimbukeni kama CCM alikimbia kaonewa na akaja chadema nako ameshindwa jiulizeni hivi yeye ndiye mtu halali kuwa rais na si wengine?

Kule CCM alikokimbia kulikuwa na watu 38 akapatikana Dr Magufuli wale 36 wakakubali kushindwa yeye akajikweza na kujiona ndiye bora kuliko wengine lakini hakuambua kitu na anachopata zaidi ni aibu tu, na bado akijichanganya yatamfika makubwa hakuna aliyewahi kushindana na nguvu ya Mungu akashinda kamwe, kama huamini subiri utaona.
 
Kama haihusiki ni hzo case why mmepeleka mawakili? Zi mgegoma mapunguwani wakubwa nyie..
Cdm zimekaaje akili kubwa tu ....tunafahamu tukifanyacho we subiri uone mziki..mgombea wenu ataishia pewa cheti lakini magogoni ataenda tembea

When you smoke controlled substances, please don't spew venomous.
 
Ndg nadhani huelewi kwamba huelewi. Mhe Kibatala aliomba ufafanuzi wa kisheria. Hukumu ndio imezidi kuwa ya kuchekesha na kutia Shaka. Vituo vyote hapa nchini viko kwenye makazi ya watu, sijui hizo mita Mia mbili zipatikane wapi, labda kwenda juu. Ingawa Baba Ritz alishangilia pale jangwani, Hakika hata watoto wadogo walijua kuwa haitekelezeki labda vituo vya kupigia kura vihamishiwe mbuga za wanyama. Sasa kwa nini waliing'ang'ania ndio tunazidi kuliona.

=ostrichegg; kusoma huji hata picha huwezi kuangalia viti vya ubunge mmekubali kuwa mmeshinda kihalali kama ubunge ni halali hata urais ni halali viti 188 na viti 76 hivi hata kama una matope kichwani unahitaji digrii kujua mshindi ni nani? Pamoja na kutojua maana ya ulinzi unaweza kulinda kitu ukiwa mita 200?

kama ni hivyo askari wangekuwa hawakai benki wangekuwa mita 200 sijui kama benki zingesalimika, hata hivyo mawakala wa chama chenu ni mataahira wote nchi nzima?

Tumieni akili na msiwe malimbukeni mtakaa kulaumu na kuaminishwa kuwa EL kaibiwa lakini ukweli ni kwamba EL hakuchaguliwa na Mungu kuiongoza Tanzania na hilo mlitambue hivyo hizi zingine ni mbwembwe za kuvuta muda ili aibu yake isimuumize bali anajifariji kwa hilo.

kumbuka toka 1995 EL anahangaikia urais wakati huo Magufuli anagombea na kuchaguliwa kuwa Mbunge hata ndoto tu ya uwaziri hakuwa nayo achilia mbali urais na alivyogusa tu habari ya urais imekwenda mojakwa moja mpaka anaingia ikulu hiyo ndiyo tofauti ya MTEULE WA MUNGU NA MTU ANAYETUMIA NGUVU ZA KIBINADAMU KUTAFUTA KITU.
 
Kama hawa deal na within country cases kwa nini wamewapokea.Si wangeambiwa straight away kwamba we do not deal with such cases.Mimi sijaona mandate ya ICJ,lakini maadam CDM wamepokelewa,basi ICJ wana deal na such cases.Kwa kuwa hata jina lenyewe linaonyesha kwamba hiyo mahakama inahusika na kutetea haki za watu pia.Vinginevyo kama ukituambia hawakupokelewa,tutakuamini.
Ukisoma dhumuni na maana ya ICJ utagundua kuwa ni mahakama inayohUsika na nchi kwa nchi na si internal affairs za nchi, ndio maana haijawah na haitawah kutokea nchi yyte duniani eti kubatilishwa matokeo na ICJ.

My take: Nawaomba wanaongelea mahakama ya ICJ na kesi ya wizi wa kura waache kwani raisi mteule ni magufuli na hakuna case itkayoenda ICJ.
 
Kama hawa deal na within country cases kwa nini wamewapokea.Si wangeambiwa straight away kwamba we do not deal with such cases.Mimi sijaona mandate ya ICJ,lakini maadam CDM wamepokelewa,basi ICJ wana deal na such cases.Kwa kuwa hata jina lenyewe linaonyesha kwamba hiyo mahakama inahusika na kutetea haki za watu pia.Vinginevyo kama ukituambia hawakupokelewa,tutakuamini.

Nani kakwambia wamepokewa?
Kwanini vijana mnadanganyika kirahisi hivi?
 
Nani kakwambia wamepokewa?
Kwanini vijana mnadanganyika kirahisi hivi?

Na wewe nani kakwambia hawajapokelewa?
(kuna mtu kauliza hapo abt cases za richmond/dowans etc...kama kweli zilisikilizwa kwenye hiyo mahakama...ilikuwa ni 'state' gani iliyoeleka hiyo case?)
 
Nimesikia kuwa alienda ICC akaambiwa siyo huku ajaribu ICJ, na kule akatolewa nje na sasa atarudi ICU.
 
Chadema wanazuga kuwa kesi imefunguliwa icj wakati website inayo orodha ya kesi zote, hakuna hata moja ya Tanzania.
 
Nyumbu walifikiri kila mtu ni Nyumbu kumbe ni Ukawa tu. Sasa wamesha sahau ICJ na bla blah blah za kuandamana.
 
Ccm hawana weledi wameiba kura wakasahau kuweka mahesabu yawe balance yaani kila ukipunguza kura hakikisha unaoanisha na za kwako. Yanaiba wakati mahesabu hayajuwi. Ovyooooo. IT mliowatumia ni mavilaza ya hatareee. CDM /UKAWA ni vichwa na wanajitambua

Nyumbu bado sana
 
Back
Top Bottom