ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

Hakika ccm ni laana, wana ccm wote akili zao zinafana, hawana reasoning hata kidogo. Jana nilimuona jamaa mmoja wa ccm channel ten alikuwa akiongea hovyo kabisa, na ni mmoja ya wana ccm waliochukua fomu ya kugombea urais. He was absolutely insane. Sijui kwa nini ukiwa ccm akili inakuwa mgando mgando?
 
Kwni wao Ukawa hawana akili mpaka wakopoteze mda wao pasipo kupata msaada wowote
 
NEC wangetenda haki idadi Inge balance lakini matokeo yakupikwa ndio maana yanajichanganya % zinaenda hadi 108.
 
Ukisoma dhumuni na maana ya ICJ utagundua kuwa ni mahakama inayohUsika na nchi kwa nchi na si internal affairs za nchi, ndio maana haijawah na haitawah kutokea nchi yyte duniani eti kubatilishwa matokeo na ICJ.

My take :nawaomba wanaongelea mahakama ya ICJ na kesi ya wizi wa kura waache kwani raisi mteule ni magufuli na hakuna case itkayoenda ICJ.

wana haha tu! hata ukiwauliza huko kote wameenda ili nini au iweje, hawajui
 
Inawezekana hata waliokuwa wanachakachua walikuwa upande wa UKAWA ikabidi waharibu mahesabu. Washakula chao wamewaachia msala. Bado kibano cha zenji hamtoki. huku mnataka kule mnataka mtakosa yote sasa.
 
Ukisoma dhumuni na maana ya ICJ utagundua kuwa ni mahakama inayohUsika na nchi kwa nchi na si internal affairs za nchi, ndio maana haijawah na haitawah kutokea nchi yyte duniani eti kubatilishwa matokeo na ICJ.

My take :nawaomba wanaongelea mahakama ya ICJ na kesi ya wizi wa kura waache kwani raisi mteule ni magufuli na hakuna case itkayoenda ICJ.

kilaza ww unafkir Mahakama zenu za kupanga hukumu kwa simu kutoka kwa fastjet? Aya sasa pigen cm nyagau nyie, nackia mambo Lumumba na magogoni hayaeleweki baada ya kuckia jamaa wako kwa wanaojua
 
Ukisoma dhumuni na maana ya ICJ utagundua kuwa ni mahakama inayohUsika na nchi kwa nchi na si internal affairs za nchi, ndio maana haijawah na haitawah kutokea nchi yyte duniani eti kubatilishwa matokeo na ICJ.

My take :nawaomba wanaongelea mahakama ya ICJ na kesi ya wizi wa kura waache kwani raisi mteule ni magufuli na hakuna case itkayoenda ICJ.

Itaanza na TZ
 
Kama hai_deal na keai disegn hiyo si furaha kwako na wenzako so kwa nini uanze kulialia?
Ukisoma dhumuni na maana ya ICJ utagundua kuwa ni mahakama inayohUsika na nchi kwa nchi na si internal affairs za nchi, ndio maana haijawah na haitawah kutokea nchi yyte duniani eti kubatilishwa matokeo na ICJ.
 
Ukisoma dhumuni na maana ya ICJ utagundua kuwa ni mahakama inayohUsika na nchi kwa nchi na si internal affairs za nchi, ndio maana haijawah na haitawah kutokea nchi yyte duniani eti kubatilishwa matokeo na ICJ.

My take :nawaomba wanaongelea mahakama ya ICJ na kesi ya wizi wa kura waache kwani raisi mteule ni magufuli na hakuna case itkayoenda ICJ.
kwani wamefungua kesi gani??
 
Mimi Hana ukawa niliwaamini sna kwenye masuali ya kesi,kumbe hamna kitu mazero matupu kichwani mwao,nilianza kuwadharau baada ya kupigwa chini kwenye kesi ya MITA 200,walieenda wanasheria wooote maarufu wa ukawa na wakapigwa na chini na majaji watatu tu waliomakini na mambo ya sheria,Kwa hiyo huko Nina wasiwasi anaesikiliza kesi akamuweka ndani lowassa na mbowe kwanza.
 
Kwni wao Ukawa hawana akili mpaka wakopoteze mda wao pasipo kupata msaada wowote

walikwenda Mahakamani juu ya suala la mita 200 wakagonga ukuta wakati serikali iliwaambia ni ruksa kukaa mita mia mbili walivyojifanya wajuaji na kukimbilia mahakamani wakaambiwa hata hizo mita mia mbili hamruhusiwi kabisaa piga kura nenda kwako ukionekana cha moto ni stahili yako nijuavyo mimi wanasheria wa UKAWA WAKO kiuchumi zaidi na wanatumia msemo wa TUMGIDIE ----- EL atatoa pesa wakatalii uholanzi kisha warudi hapa kimyaaaaaaaaaaaaa ni kweli mali ya mjinga huliwa na wajanja.

Mwambieni EL aachie hata za kutoa sadaka na ajenge chuo kikuu cha Monduli kwa heshima yake na kizazi kijacho atakumbukwa kwa hilo badala ya kutapanya fedha kwa kung'ang'ani URAIS ambao umeshamgomea kila anapojaribu kuupata toka 1995.

Atakumbukwa kama shujaa wa elimu na siyo shujaa wa kutafuta URAIS MFIKISHIENI UJUMBE WANGU NA AUFANYIE KAZI KWANI HAKUNA NAMNA YOYOTE ANAYOWEZA KUFANYA AKAINGIA IKULU.
 
Mimi Hana ukawa niliwaamini sna kwenye masuali ya kesi,kumbe hamna kitu mazero matupu kichwani mwao,nilianza kuwadharau baada ya kupigwa chini kwenye kesi ya MITA 200,walieenda wanasheria wooote maarufu wa ukawa na wakapigwa na chini na majaji watatu tu waliomakini na mambo ya sheria,Kwa hiyo huko Nina wasiwasi anaesikiliza kesi akamuweka ndani lowassa na mbowe kwanza.

Kesi maana yake kuna kushinda na kushindwa!
 
Hii mahakama ina kikomo chake, hairuhusiwi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yaliyopitishwa kikatiba, soma hapo chini; Jurisdiction
The International Court of Justice acts as a world court. The Court has a dual jurisdiction : it decides, in accordance with international law, disputes of a legal nature that are submitted to it by States (jurisdiction in contentious cases); and it gives advisory opinions on legal questions at the request of the organs of the United Nations or specialized agencies authorized to make such a request (advisory jurisdiction).
 
Mimi Hana ukawa niliwaamini sna kwenye masuali ya kesi,kumbe hamna kitu mazero matupu kichwani mwao,nilianza kuwadharau baada ya kupigwa chini kwenye kesi ya MITA 200,walieenda wanasheria wooote maarufu wa ukawa na wakapigwa na chini na majaji watatu tu waliomakini na mambo ya sheria,Kwa hiyo huko Nina wasiwasi anaesikiliza kesi akamuweka ndani lowassa na mbowe kwanza.

Acha kukrem, kwa hiyo unafikiri kila hukumu inayotolewa na mahakama hasa za TZ ni ya haki!? Kama hayajakukuta tulia umuombe Mungu..
 
Nimeota Jana ccm mahesabu kwao ni ugonjwa. Ukiiba bana lazima uwe makini. Nasema tena mahesabu yanahitaji vichwa makini

Na lazima yakaaibike tu kule sioni kama yatatoka salama kwenye hiyo kesi. Takwimu lazima ziwahukumu. Wanaiba kura lakini hawajui kubalance hesabu. Si wangeniita hata mimi niwasaidie.
 
Back
Top Bottom