ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

kilaza ww unafkir Mahakama zenu za kupanga hukumu kwa simu kutoka kwa fastjet? Aya sasa pigen cm nyagau nyie, nackia mambo Lumumba na magogoni hayaeleweki baada ya kuckia jamaa wako kwa wanaojua

Hahaha hii mimba ya ICJ mafisiem hawachomoi asilani. Ndo mana yanaanza kutoa mapovu mapema.
 
Mimi Hana ukawa niliwaamini sna kwenye masuali ya kesi,kumbe hamna kitu mazero matupu kichwani mwao,nilianza kuwadharau baada ya kupigwa chini kwenye kesi ya MITA 200,walieenda wanasheria wooote maarufu wa ukawa na wakapigwa na chini na majaji watatu tu waliomakini na mambo ya sheria,Kwa hiyo huko Nina wasiwasi anaesikiliza kesi akamuweka ndani lowassa na mbowe kwanza.

walikwenda Mahakamani juu ya suala la mita 200 wakagonga ukuta wakati serikali iliwaambia ni ruksa kukaa mita mia mbili walivyojifanya wajuaji na kukimbilia mahakamani wakaambiwa hata hizo mita mia mbili hamruhusiwi kabisaa piga kura nenda kwako ukionekana cha moto ni stahili yako nijuavyo mimi wanasheria wa UKAWA WAKO kiuchumi zaidi na wanatumia msemo wa TUMGIDIE ----- EL atatoa pesa wakatalii uholanzi kisha warudi hapa kimyaaaaaaaaaaaaa ni kweli mali ya mjinga huliwa na wajanja.

Mwambieni EL aachie hata za kutoa sadaka na ajenge chuo kikuu cha Monduli kwa heshima yake na kizazi kijacho atakumbukwa kwa hilo badala ya kutapanya fedha kwa kung'ang'ani URAIS ambao umeshamgomea kila anapojaribu kuupata toka 1995.

Atakumbukwa kama shujaa wa elimu na siyo shujaa wa kutafuta URAIS MFIKISHIENI UJUMBE WANGU NA AUFANYIE KAZI KWANI HAKUNA NAMNA YOYOTE ANAYOWEZA KUFANYA AKAINGIA IKULU.

Subirini kesi iishe na mkumbuke ile pale sio mahakama yenu ya majaji wa kifisadi. Ikishaisha ndo tu conclude kwamba ukawa hakuna kitu.

Ila kwa hali ilivo lumumba na magogoni hii mimba ya ICJ CCM hamtachomoa.
 
Hii mahakama ina kikomo chake, hairuhusiwi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yaliyopitishwa kikatiba, soma hapo chini; Jurisdiction
The International Court of Justice acts as a world court. The Court has a dual jurisdiction : it decides, in accordance with international law, disputes of a legal nature that are submitted to it by States (jurisdiction in contentious cases); and it gives advisory opinions on legal questions at the request of the organs of the United Nations or specialized agencies authorized to make such a request (advisory jurisdiction).

Mkuu kama madai ya ukawa ni ya kweli ikithibitishwa hivo na mahakama. Huyo magufuli ataapishwa lakini kuna hatari ya nchi kususiwa na jumuia ya kimataifa. Sasa fikiria tu wazungu wakikata misaada Tanzania itaishi vip
 
Huko South Sudan,Burundi, drc na kwingineko hawaijui hii mahakama isipokuwa ukawa tu????? :thumbdown:😀

Ndio tofauti kubwa kati yao na Mzee wetu mwenye busara...hv unadhani Mzee akiamua atuachie wananchi tuidai nchi yetu hamtoki nyie malofa hapo magogoni?
Msituone tumekaa kimya mkafikiri sisi mafala....eti nowdays mnahubiri AMANI kila nikifungua redio ni AMANI AMANI AMANI ...mnaogopa nn?
Nawaambia hv hakuna AMANI pasipo na haki ......
 
Mungu ananjia nyingi za kukomesha mabishano.....kama kupiga kura haikuwezekana, zitakuwepo njia nyingine....tutaheshimiana baadae
 
Hakuna chama chenye wafuasi wajinga kama ccm wenzio tulishacheza na kesi na tukayaona mengi. Kama mlizoea kuamuru mahakama zenu watoe hukumu kwa simu safari hii mnakwenda kuaibika mwisho wenu umefika wazungu hawatoi hukumu kwa simu
 
Don't mislead people wew kilaza wa ccm

[h=4]The Court[/h]The International Court of Justice (ICJ) is the principal judicial organ of the United Nations (UN). It was established in June 1945 by the Charter of the United Nations and began work in April 1946.
The seat of the Court is at the Peace Palace in The Hague (Netherlands). Of the six principal organs of the United Nations, it is the only one not located in New York (United States of America).
The Court?s role is to settle, in accordance with international law, legal disputes submitted to it by States and to give advisory opinions on legal questions referred to it by authorized United Nations organs and specialized agencies.
 
The Court's role is to settle, in accordance with international law, legal disputes submitted to it by States and to give advisory opinions on legal questions referred to it by authorized United Nations organs and specialized agencies.
 
Kama haihusiki ni hzo case why mmepeleka mawakili? Zi mgegoma mapunguwani wakubwa nyie..
Cdm zimekaaje akili kubwa tu ....tunafahamu tukifanyacho we subiri uone mziki..mgombea wenu ataishia pewa cheti lakini magogoni ataenda tembea

[h=4]The Court[/h]The International Court of Justice (ICJ) is the principal judicial organ of the United Nations (UN). It was established in June 1945 by the Charter of the United Nations and began work in April 1946.
The seat of the Court is at the Peace Palace in The Hague (Netherlands). Of the six principal organs of the United Nations, it is the only one not located in New York (United States of America).
The Court's role is to settle, in accordance with international law, legal disputes submitted to it by States and to give advisory opinions on legal questions referred to it by authorized United Nations organs and specialized agencies.
 
yani kubabekiiii mafisiem hawa wanataka kuwaua wazenji wanapodai haki....
 
Hatuwashangai kwa kuwa akili zenu zimeduma. Mliambiwa Lowassa mwizi mkamtukana mkaambiwa hajaiba ni msafi mnamsifia. Hata hii mtakaloambiwa mtaimbaaa na likienda kinyume chake mtaimbaaaaa. Empty heads. Poleni sana
 
[h=4]The Court[/h]The International Court of Justice (ICJ) is the principal judicial organ of the United Nations (UN). It was established in June 1945 by the Charter of the United Nations and began work in April 1946.
The seat of the Court is at the Peace Palace in The Hague (Netherlands). Of the six principal organs of the United Nations, it is the only one not located in New York (United States of America).
The Court?s role is to settle, in accordance with international law, legal disputes submitted to it by States and to give advisory opinions on legal questions referred to it by authorized United Nations organs and specialized agencies.

Mkuu heb nisaidie hapo wanaposema US organs and specialized agencies,vyama vya siasa haviingii hapo?
 
The Court

The International Court of Justice (ICJ) is the principal judicial organ of the United Nations (UN). It was established in June 1945 by the Charter of the United Nations and began work in April 1946.
The seat of the Court is at the Peace Palace in The Hague (Netherlands). Of the six principal organs of the United Nations, it is the only one not located in New York (United States of America).
The Court?s role is to settle, in accordance with international law, legal disputes submitted to it by States and to give advisory opinions on legal questions referred to it by authorized United Nations organs and specialized agencies.

Jurisdiction

The International Court of Justice acts as a world court. The Court has a dual jurisdiction : it decides, in accordance with international law, disputes of a legal nature that are submitted to it by States (jurisdiction in contentious cases); and it gives advisory opinions on legal questions at the request of the organs of the United Nations or specialized agencies authorized to make such a request (advisory jurisdiction).

Contentious Jurisdiction

In the exercise of its jurisdiction in contentious cases, the International Court of Justice has to decide, in accordance with international law, disputes of a legal nature that are submitted to it by States. An international legal dispute can be defined as a disagreement on a question of law or fact, a conflict, a clash of legal views or of interests.

Only States may apply to and appear before the International Court of Justice. International organizations, other collectivities and private persons are not entitled to institute proceedings before the Court.

Article 35 of the Statute defines the conditions of access for States to the Court. While paragraph 1 of that Article opens it to the State parties to the Statute, paragraph 2 is intended to regulate access to the Court by States which are not parties to the Statute. The conditions of access of such States are, subject to the special provisions contained in treaties in force at the date of the entry into force of the Statute, to be determined by the Security Council, with the proviso that in no case shall such conditions place the parties in a position of inequality before the Court.

The Court can only deal with a dispute when the States concerned have recognized its jurisdiction. No State can therefore be a party to proceedings before the Court unless it has in some manner or other consented thereto.

[h=4]Advisory Jurisdiction[/h] Since States alone have capacity to appear before the Court, public (governmental) international organizations cannot as such be parties to any case before it.

ZAIDI TEMBELEA HAPA:http:http://www.icj-cij.org/homepage/index.php

USHAURI: Vyama vya siasa acheni kuwahadaa wanachama wenu.
 
Inawezekana hata waliokuwa wanachakachua walikuwa upande wa UKAWA ikabidi waharibu mahesabu. Washakula chao wamewaachia msala. Bado kibano cha zenji hamtoki. huku mnataka kule mnataka mtakosa yote sasa.

Kwa hiyo unashauri tukushangilie kwa lipi; ubingwa wa kuiba? Au?
 
Ungeandika kwa kiswahili, nina hakika huu uzi ungepata wachangiaji wengi na kupelekea ujumbe kuwafikia walio wengi aiseee
 
Waliitwa malofa na mapumbavu sio bure. Hiyo ni njia ya waliomchagua Lowassa kinyemela kugombea kuwafanya wanachama wao wasijikite kumjadili Mbowe na kundi. Si unawaona wanavyofanywa mapimbi? Mara Rais Magufuli haapishwi,mara hapewi cheti ilimradi ni balaa tu. Mchawi wanae ndani wanamtafute nje. Zigo wameshushiwa na Ccm linawasumbua
 
Ungeandika kwa kiswahili, nina hakika huu uzi ungepata wachangiaji wengi na kupelekea ujumbe kuwafikia walio wengi aiseee

Hata kingereza wanajua ila wanajifanya vichaa muda wote kwamba hawajui kusoma na hata picha hawawezi kuona.
 
Ungeandika kwa kiswahili, nina hakika huu uzi ungepata wachangiaji wengi na kupelekea ujumbe kuwafikia walio wengi aiseee

Nilitamani kufanya hivyo, tatizo waswahili huwa tunaongezea na chumvi humohumo, sasa ili kuondoa upotoshaji na kuharibu maana nimeamua kuileta kama ilivyo.
 
Back
Top Bottom