Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,351
- 15,069
bado sijaelewa hivi hawa ice ambao wako kwenye news kila mahali tatizo liko wapi? kwa nini stress hizi zoote na maandamano ya kuwapinga, je, wanaonea watu au tatizo ni nini? nilifikiri labda wanafanya control ya watu ambao wako nchini USA illegally au kwa maneno mengine hawakupswa kuwepo USA, sasa tatizo liko wapi hapo kama kwa mfano wewe ni mgeni na una kila kitu i.e vibali vya kuwepo huko USA kwa nini iwe tabu kuwaonyesha tu vibali vyako na kuendelea na maisha yako au bado watakuonea hata kama una kila kitu? iweje mpaka watu wanauliwa kwa risasi au kuumizwa, je ni vibali tu vya kuishi huko au kuna mengine labda?
i am confused ...
i am confused ...