Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,416
- 17,725
- Thread starter
- #21
Hawapewi due process.
Kabla hujaondolewa lazima upewe nafasi ya kusikilizwa kesi yako mahakamani kwasababu kuna njia nyingi za kupata uraia, kila mtu ana kesi yake.
Hata haki ya kutumia mwanasheria hawapewi. Kwahiyo ni changamoto.
duh, yaani mtu kavunja sheria ya nchi na kaingia kwenye nchi ya watu illegally halafu lazima apewe haki ya kusikilizwa? watu illegal ni wavamizi kwa kawaida wanapaswa kuzuiwa na kurudishwa mipakani na kama wakigoma wanaweza hata kuwa shot na walinzi wa mipaka na hakuna kesi kwa maana ni wavamizi, nielewavyo mimi kwa nchi nyingi duniani mvamiaji hana haki zaidi ya kukamatwa na kurudishwa alikotoka, hata tanzagiza ni hivyo ...