ICC mbona wanachelewa sana?

Huu wa.Tume ya Samia unakidhi viwango?

Na kama uko sahihi, wanasheria wa kimataifa kutoka taasisi za kimataifa waliofungua kesi ICC, hawajui hili unalosemq?
 
Kabudi naye hafui dafu huko, kama Makesi ya makinikia iliwatoa jasho sembuse hii ya mauaji ambayo kila kitu kipo wazi , ataenda kutetea nini sasa
 
Relax wamemshika pabaya sana.

Unaambiwa, Ili asipelekwe ICC ,hayo matakwa aliyopewa , lazima tu aende ICC.
 
Inaenda step by step haitaki kuacha loose holes nyuma
 
Mtasubiri sana.
 
Relax wamemshika pabaya sana.

Unaambiwa, Ili asipelekwe ICC ,hayo matakwa aliyopewa , lazima tu aende ICC.
ICC lazima kwenda tu, hakuna cha mashariti hapa , vinginevyo ICC ifutwe kwenye ulimwengu wa Dunia , unaua watu hata wasio na hatia then ,ACC Inaleta mashariti gani kama hautokua upuuzi
 
Huu wa.Tume ya Samia unakidhi viwango?

Na kama uko sahihi, wanasheria wa kimataifa kutoka taasisi za kimataifa waliofungua kesi ICC, hawajui hili unalosemq?
Ikishaundwa tume maana yake taasisi za kimataifa kina AU na EU inabidi na zenyewe ziunde tume ambayo itakuja kufanya kazi na tume ya Chande.

Sio suala rahisi kama tunavyoliongelea kiushabiki.
 
ICC lazima kwenda tu, hakuna cha mashariti hapa , vinginevyo ICC ifutwe kwenye ulimwengu wa Dunia , unaua watu hata wasio na hatia then ,ACC Inaleta mashariti gani kama hautokua upuuzi
DRC wamekufa watu zaidi ya 2000 kule uvira na kivu mara baada ya Kagame, Tshisekedi na Trump kutia saini makubaliano ya biashara ya madini kufanyika, nani kamshtaki Tshisekedi kwa mauaji hayo?.

Trump kila siku anaua wamarekani na ICE wanafanya utekaji katika majimbo yote ya USA, umeshasikia Trump eti kapewa wito wa kushtakiwa ICC?.
 
Mpaka mda huu E.A wenda Tz inaongoza kwa mauaji ya wananchi wake ndani ya nchi , 29 Mo , tukitaka kuponya TAIFA lazima kila kitu ,tuuseme ukweli, bila papasa macho.

Tumepoteza nguvu kazi ya taifa hili kwa kiwango cha kutisha , leo moja ya vijana wangu may be angekua S.A katika chuo cha kurusha ndege , nimebaki na komoja tu ka kike , kengine kapo huko Uganda nako ka kike ka ujana ,

Hivi Abdul, na nduguze wangepotea iyo MO , kweli pangekalika? Mtoto wa IGP angepote , mkurugenzi wa Tiss angepotea, ,mtoto wa CDF angepotea pangeshikika , kwamba kisa tu sie maskini ndo wanatufanyia hivi, hua watoto wetu bila hatia, watakufa vifyo vibaya sana asema Bwana
 
Pole kwa msiba, tutakuwa tumejifunza kitu muhimu sana kupitia yale majanga. Vita haina macho.

Huko DRC, Sudan na Somalia kila siku wanauliwa watoto wasio na hatia. Ndoto nyingi zinazimwa zikiwa bado hata hazijaweza kuanza kuwa sehemu ya dunia yetu.

Anayeshinda kutwa nzima akisambaza habari za chuki anatengeneza mazingira ya wengi wetu kuumizwa na malipo ya hiyo dhambi.
 
 
Rais wa philipines, duterte walimgonjea mpaka akamaliza term yake ya urais ndipo wakamdaka na kumpeleka icc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…