PostGE2025 ICC, Maendeleo ya Kesi ua Uhalifu dhidi ya Utu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,513
Reaction score
15,099
Mahakama ya ICC Inasema ilipokea mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kesi hiyo ilifunguliwa na taasisi za kimataifa zinazotetea haki za binadamu, ambapo mashtaka makubwa ni pamoja na:
1. Mauaji ya maelfu ya waandamanaji

1. Utekaji, mauaji na upotezaji wa wapinzani wa kisiasa, wanaharakati wa haki za binadamu, na wakosoaji wake.

3. Kuzima mawasiliano wakati wa utekelezaji wa mauaji ili kuficha mauaji.

MAENDELEO
Shauri mpaka sasa lipo kwenye hatua za awali ambapo mahakama inapitia vielelezo mbalimbali ili kuona kama vinakidhi vigezo vya mashtaka.

NOTE:
Naona kiongozi ameamua kuumalizia uzee wake kwa kuharibu kabisa heshima yake binafsi na taifa kwa ujumla. Kwa kweli Serikali hii ni mbaya kuliko serikali yoyote ambayo Taifa letu liliwahi kuwa nayo. Hakuna utawala wowote kabla yake uliwahi kusababisha maelfu ya vifo vya wananchi kwa kiwango hiki cha 2025, ili tu kulazimisha kuendelea kutawala nchi kwa nguvu.
Note:Kiongozi, hata ufanye mazuri gani, lakini ukiwa muuaji, mazuri yako yote yanapotea, na kumbukumbu pekee utakayoiacha ni ule ushetani wako wa kuua watu. Ndiyo maana hakuna anayetaka kujua Hitler, Chasesku, Musolini, Amin, Bokasa, walifanya nini kwenye mataifa yao; jambo pekee wanalokumbukwa nalo, ni udikteta na mauaji waliyoyafanya.

Nchi yetu imeamua kuchagua njia mbaya, tumeshindwa kuitambulisha nchi yetu kwa mema, sasa kwa bidii kubwa tunaitambulisha kwa uovu dhidi ya ubinadamu. Hili doa kubwa sana baya, litatembea na huyu mama maisha yake yote, na hata baada ya kuondoka katika Ulimwengu. Daima, vizazi na vizazi, atakumbukwa kwa mauaji haya.

Habari Yenyewe:
In November 2025, a coalition of international human rights groups and legal bodies, including the World Jurists Association and the Madrid Bar Association, formally submitted a request to the International Criminal Court (ICC) to investigate Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and her government.
The submission is an 82-page communication (dossier) filed under Article 15(2) of the Rome Statute, which accuses the Tanzanian government of carrying out widespread and systematic crimes against humanity. The specific allegations relate to a brutal crackdown and violence following the disputed general elections on October 29, 2025.

Status of the Case
  • Submission Received: The ICC Office of the Prosecutor has acknowledged receipt of the communication.
  • No Formal Investigation Yet:
  • The Prosecutor's Office is currently assessing the request to see if the evidence meets the threshold for crimes against humanity under international law.
  • Not Formally Charged: President Samia Suluhu Hassan has not been formally charged or indicted by the court; the process is still at the initial petition stage.
  • Key Allegations
    The dossier alleges that the post-election violence was part of a state-engineered attack on civilians and that the alleged violations form part of a broader pattern of repression dating back to 2022. The specific crimes alleged include:
    • Mass killings of thousands of civilians, including protesters and journalists.
    • Enforced disappearances and systematic torture of detainees.
    • Sexual violence used as a weapon of repression.
    • Forced displacement of Maasai indigenous communities from their ancestral lands.
    • A coordinated internet blackout used to conceal mass killings.
  • The petitioners argue that President Hassan bears "command responsibility" for these actions, as the abuses allegedly occurred under her administration and with the knowledge of high-level government officials.
 
Huyu Mama angejiuzulu tu ameshachafuka sana.

Hata CDF, IGP na DGIS, wanapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu baada ya yale mauji ya kikatili.
Haitaishia kujiuzulu tu bali wawajibishwe kwa yote yaliyotokea. Walikuwa na uwezo wa kuzuia bila kuwaga damu ya watanzania kwa kiwango hiki tena makusudi kabisa kwa order ya "Shoot to kill"
Maandamano kikatiba yanaruhusiwa na tunaona nchi nyingine wakiandamana na uharibifu kutokea maana haikwepeki coz kila mtu na akili yake but sio kusababisha casualties kubwa ya kiwango hiki tena makusudi kabisa.
 
Mahakama ya ICC Inasema ilipokea mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kesi hiyo ilifunguliwa na taasisi za kimataifa zinazotetea haki za binadamu, ambapo mashtaka makubwa ni pamoja na:
1. Mauaji ya maelfu ya waandamanaji

1. Utekaji, mauaji na upotezaji wa wapinzani wa kisiasa, wanaharakati wa haki za binadamu, na wakosoaji wake.

3. Kuzima mawasiliano wakati wa utekelezaji wa mauaji ili kuficha mauaji.

MAENDELEO
Shauri mpaka sasa lipo kwenye hatua za awali ambapo mahakama inapitia vielelezo mbalimbali ili kuona kama vinakidhi vigezo vya mashtaka.

NOTE:
Naona kiongozi ameamua kuumalizia uzee wake kwa kuharibu kabisa heshima yake binafsi na taifa kwa ujumla. Kwa kweli Serikali hii ni mbaya kuliko serikali yoyote ambayo Taifa letu liliwahi kuwa nayo. Hakuna utawala wowote kabla yake uliwahi kusababisha maelfu ya vifo vya wananchi kwa kiwango hiki cha 2025, ili tu kulazimisha kuendelea kutawala nchi kwa nguvu.
Note:Kiongozi, hata ufanye mazuri gani, lakini ukiwa muuaji, mazuri yako yote yanapotea, na kumbukumbu pekee utakayoiacha ni ule ushetani wako wa kuua watu. Ndiyo maana hakuna anayetaka kujua Hitler, Chasesku, Musolini, Amin, Bokasa, walifanya nini kwenye mataifa yao; jambo pekee wanalokumbukwa nalo, ni udikteta na mauaji waliyoyafanya.

Nchi yetu imeamua kuchagua njia mbaya, tumeshindwa kuitambulisha nchi yetu kwa mema, sasa kwa bidii kubwa tunaitambulisha kwa uovu dhidi ya ubinadamu. Hili doa kubwa sana baya, litatembea na huyu mama maisha yake yote, na hata baada ya kuondoka katika Ulimwengu. Daima, vizazi na vizazi, atakumbukwa kwa mauaji haya.

Habari Yenyewe:
In November 2025, a coalition of international human rights groups and legal bodies, including the World Jurists Association and the Madrid Bar Association, formally submitted a request to the International Criminal Court (ICC) to investigate Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and her government.
The submission is an 82-page communication (dossier) filed under Article 15(2) of the Rome Statute, which accuses the Tanzanian government of carrying out widespread and systematic crimes against humanity. The specific allegations relate to a brutal crackdown and violence following the disputed general elections on October 29, 2025.

Status of the Case
  • Submission Received: The ICC Office of the Prosecutor has acknowledged receipt of the communication.
  • No Formal Investigation Yet:
  • The Prosecutor's Office is currently assessing the request to see if the evidence meets the threshold for crimes against humanity under international law.
  • Not Formally Charged: President Samia Suluhu Hassan has not been formally charged or indicted by the court; the process is still at the initial petition stage.
  • Key Allegations
    The dossier alleges that the post-election violence was part of a state-engineered attack on civilians and that the alleged violations form part of a broader pattern of repression dating back to 2022. The specific crimes alleged include:
    • Mass killings of thousands of civilians, including protesters and journalists.
    • Enforced disappearances and systematic torture of detainees.
    • Sexual violence used as a weapon of repression.
    • Forced displacement of Maasai indigenous communities from their ancestral lands.
    • A coordinated internet blackout used to conceal mass killings.
  • The petitioners argue that President Hassan bears "command responsibility" for these actions, as the abuses allegedly occurred under her administration and with the knowledge of high-level government officials.
Mwaka huu samuya kayakanyaga
 
SAMIA HAPASWI KUISHI,ANAPASWA AFE
Kabisa. Hii ni adhabu pekee kwa mbali sana inamstahili. Yeye kaua watu wengi, akifa peke yake bado haitoshi kufidia watu wengi aliowaua, so it is better than any other justice for the victims
 
Watamkamatia wapi?
 
Huyu Mama angejiuzulu tu ameshachafuka sana.

Hata CDF, IGP na DGIS, wanapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu baada ya yale mauji ya kikatili.
Kujiuzulu hakuondoi kosa.

Wanapaswa kuhukumiwa kunyongwa na wanyongwe haraka baada ya hukumu kutoka.

Na wakiishanyongwa wachomwe moto na jivu lao likatupwe huko bahari ya kina kirefu.
kama ccm na polisi wao watahitaji kuomboleza tutawasindikiza huko baharini na boti lililo toboka wakafie huko huko.
 
Back
Top Bottom