MUSONI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 904
- 692
Mkama ni jina Takatifu na tunategemea mwenye nalo awe hivyo,Afande Kagame ni JEMBE hii inakwenda bila kupingwa wale watu wamejipanga, tunatumia fedha nyingi kwenda SINGAPORE kuona maendeleo yalivyo na tunarudi na perfume za wapendwa wetu tu ,wakati wenzetu walienda na matokeo yake yanaonekana.....tujipange......!!! EID MUBARAK.