ICC justice is selective – Kagame

ICC justice is selective – Kagame

bmalale

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
466
Reaction score
24
President Paul Kagame has said that Africans should not accept being selectively picked on by the international justice system which doesn't understand Africa's complex issues.

Kagame was addressing a press conference on Tuesday, when he stated that the International Criminal Court (ICC) is just a tool of the west being used to control others and it has become a punching bag for African leaders.

"If ICC indeed is to be called international justice, let it be seen to be trying people across the board. It is not a question of being for or against ICC. This is taking things simplistic way.

Our stand on ICC is not as a result of the Kenyan trials. Our stand was made 10 years ago, which is why we are not signatories," said Kagame.

African leaders under the African Union (AU) have backed the idea of leaving Africans to sort out their issues especially in the case of their Kenyan counterparts (President Uhuru Kenyatta and his deputy president William Ruto) who are currently being pursued by the ICC.

Source: THE EAST AFRICA TIMES
 
Bush
tony blair
dick cheney
donald rumsfield na wengineo kama hawa wana stahili kuwa washtakiwa icc kwa mauaji na kusabibisha watu mamilioni kuwa wakimbizi na kusababisha nchi walizo zivamia kuwa ni jahanam ya mauaji.
Askari wao walifanya mauaji ya kutisha kwa amri yao
hakuna unyama ambao dunia imeshuhudia tangu baada ya hitler kama unyama na ushenzi walofanya hawa jamaaa
kama kweli icc inafanya kazi zake kwa haki na kufata sheria basi ingeanzia hapo.
Pili israel chni ya bbenjamin na sharon wanastahili kuwepo huko ...na juhudi za kuwapeleka huko zinakwamishwa kwa mashahidi wa genecide kule shabra na shatila wanauliwa mmoja baada ya mwengine na icc inkaa kimya
hivyo bora kujitoa tu......
 
Kagame na experience yake ya Rwanda genocide na unafiki wa hizi international bodies walijua ICC ni useless ndio maana Rwanda walikataa kujiunga na ICC from the get go...kuna siku mtakuja kumwelewa na swala la Congo pia.
 
eyza59w2kagame.jpg


kagame11.jpg


Kagame%20Demo.jpg
 
Charlestaylor.jpg


120426094204-charles-taylor-liberia-file-horizontal-gallery.jpg


charles_2203052b.jpg


060620_taylor_hmed_11a.grid-6x2.jpg

Charles Taylor aliekuwa Rais wa Liberia amefungwa kwa War crimes zilizofanyika nchini Sierra Leone maana yeye alikuwa anawasapoti waasi wa nchi nyingine.

Kagame na role yake ya Congo kusapoti vikundi vya waasi na ukizingatia viongozi wa vikundi hivyo tayari wapo ICC, kwa hili la Congo, Kagame hatatoka salama ... its just matter of time.
 
Kagame na experience yake ya Rwanda genocide na unafiki wa hizi international bodies walijua ICC ni useless ndio maana Rwanda walikataa kujiunga na ICC from the get go...kuna siku mtakuja kumwelewa na swala la Congo pia.

Sure watakuja kuelewa tu
 
Rwanda si signatory wa Rome Statutes.Then PK is estopped from commenting on issues pertaining to ICC.Aaache wanachama wazungumze.Afterall AU si member wa ICC bali ni individual States tu
Sasa ni taasisi gani kwa Kagame ipo sawa maana alishagombana na UN wakati wa Koffi Annan,ICTR na sasa japo si direct EAC.
He who come to equity must come with clean hands.Je viongozi wa AU wana mikono safi kweli kuwa na moral justification kuituhumu ICC.
 
Kagame ni moja kati marais ambao mimi binafsi huwa nawakubali sana kwa falsafa yake yakutojipendekeza saaaana kwa watu ambao tunawaita wadau wa maendeleo vile vile na jinsi anavyo jiamini katita kufanya maamuzi kwa maslahi ya watu wake…..unaweza kuliona hilo kwakuona hatua ya maendeleo ambayo Rwanda hivi sasa imefikia…."Facts are not Discussed"

Mbali na kuhusishwa na maswala mbalimbali ambayo mengi hutoka kwa nchi za nje zaidi kuwa Kagame ni "DIKTETA" na ndio anafadhili waaasi M23 ….na NK.

Nchi nyingi za kiafrika zimekua zikiamini na kuunga mkono hayo . BUT ukweli umeenza kijitokeza kwa siku za karibuni baada ya AU kulivalia njagu swala la ICC

Nchi nyingi za kiafrica leo zinasema kuwa ICC inawalenga zaidi viongozi wa afrika wakitoa mifano ya viongozi mbalimbali wa Ulaya ,Usia , nk kuwa hawapelekwi kule.

Sasa leo ndo najua kwa nini Rwanda ikiongozwana Kagame ni miongoni mwa nchi chache ambazo hazikusain huo mkataba huo wa ICC

Kagame alionekana "DIKTETA" Kutoungamkono ICC leo nchi kibao zinataka kujitoa….. Naamini i[po siku kwahii issue ya congo pia Kagame Tutamuelewa tu..


"If ICC indeed is to be called international justice, let it be seen to be trying people across the board. It is not a question of being for or against ICC. This is taking things simplistic way. Our stand on ICC is not as a result of the Kenyan trials. Our stand was made 10 years ago, which is why we are not signatories," said Kagame.
 
da mimi namuelewa sana huyu bwana.huyu bwana ni kichwa sana na anaona mbali sana na hasiti kuongea ukweli haijalishi ukweli utawakwaza wakubwa
 
da mimi namuelewa sana huyu bwana.huyu bwana ni kichwa sana na anaona mbali sana na hasiti kuongea ukweli haijalishi ukweli utawakwaza wakubwa

Unafikiri kunguru kumnyea mpitaji njia ni shabaha? lahasha ni bahati tu.

Mie naamini hakusini kwa sababu anajua alishiriki ktk mauaji na kusaini kwake inamaana ilikuwa anajifunga mwenyewe. Ila sasa amepata tu kakijipenyo yani kakiji pretext ku-justify
 
Unafikiri kunguru kumnyea mpitaji njia ni shabaha? lahasha ni bahati tu.

Mie naamini hakusini kwa sababu anajua alishiriki ktk mauaji na kusaini kwake inamaana ilikuwa anajifunga mwenyewe. Ila sasa amepata tu kakijipenyo yani kakiji pretext ku-justify
yawezekana ikawa kweli hoja yako lakini ukiacha suala la ICC Huyu jamaa ni mkali anaona mbali sana.....fuatilia speech zake kwenye makongamano na mikutano sehemu balimbali utabaini kwamba huyu bwana upeo wake wa kufikiri ni mkubwa sana....jamaa anaajua huyu
 
yawezekana ikawa kweli hoja yako lakini ukiacha suala la ICC Huyu jamaa ni mkali anaona mbali sana.....fuatilia speech zake kwenye makongamano na mikutano sehemu balimbali utabaini kwamba huyu bwana upeo wake wa kufikiri ni mkubwa sana....jamaa anaajua huyu

Speech zake na za Nyerere zipi zinaona mbali? na kwanini wakati Nyerere anaondoka Tz ilikuwa masikini japo Nyerere hakuwa fisadi na alipomaliza uraisi wake alienda kijijini kwao na kuanza lima bila polisi, Mwambie Kagame afanye hivyo basi?
 
Kitu kingine wazungu wanajua ana makosa Congo,ila wanamuonea aibu kwa kile kilichotokea 1994,wazungu wanaona aibu kwanini hawakuwepo kuzuia genocide ile,hii nayo inampa kichwa sana anajua wazungu atawa attack wapi,kitu kingine Rwanda ilikuwa koloni la French,alibadilisha akaona wafaransa wapumbavu akafanya lugha ya kuongea itakuwa english,ila mwisho wa siku ana ujinga wake mwingine mwingi tu,ila Rwanda kajitahidi sana kuiweka ilipo.
 
Kama wewe unajijua hauna hatia, kwa nini uogope mahakama?, Hilo la kusema kuwa viongozi wa mabara mengine hawapelekwi ICC ni kisingizio tu cha viongozi wa Afrika kukwepa mkono wa sheria kwa sababu wanajijua ni wauaji na waovu wakubwa!!, hivi akina Slobodan Milosevic na akina Mradic ni waafrika?

Wananchi wa wa kawaida wa bara hili la Afrika kwa umoja wetu tupinge nchi zetu kujitoa ICC, kwani kwa kujitoa ni kibali kwa watawala wetu wasio na huruma kutuangamiza pasipo kuhofia chochote.
 
Kwani mahakamni watu wanakwenda kwa zamu au inategemeana na mashitaka ya kujibu,kama huna kwanini uende kwa pilato. Sifa mnazompa waulizeni na wananchi wake hasa hasa wahutu kama na wao wanafursa huko?

Jk mpaka mnamtusi poa tu lakini mkafanye haya mambo kigali kama inawezekana.
 
Kagame is like many strong and smart people, they are the engineers of their own demise

hakuna kiongozi kama yeye when it comes to setting goals, developing strategies and implement actions to achieve his goals, kila nilipopata bahati ya kukaa na watu wa international development na tukianza kuongea mambo ya Africa, he is next to none... governance, clients service, responsible and accountable government officers, contracts management, keeping his words, environment protection, urbanization, investment attraction, quick turn around you name it

However, his biggest challenge is to know his limit, and to to be patients

hats off - his success, but a 'watch out dude" to his hasty decisions
 
da mimi namuelewa sana huyu bwana.huyu bwana ni kichwa sana na anaona mbali sana na hasiti kuongea ukweli haijalishi ukweli utawakwaza wakubwa
huyu hawezi kuiunga icc kwani naye ni walewale ambao wanahitajika kupelekwa huko
 
Back
Top Bottom