Inapofikia suala la Kagame huwa sikuelewi kabisa ndugu, hivi kusema mtu fulani ni mwizi lazima awe amekuibia wewe?Mdau kasema huyo Kagame anaiba dhahabu ya Congo unasema anajidai anauchungu nayo wakati Tanzania pia wanaiba viongozi wetu, kwani hao viongozi wetu kama Kinana na mzee wa Ndovu hatuwasemi? Yaani hata kama ni mwizi asisemwe kisa anaiba nje ya Tanzania?
Kumsema Kagame kuwa anaiba Congo ni kuwa na uchungu na Congo?
Charity begins at home my friend....At home!You need to put your own house in order my friend before you think of helping someone else's house..That's where we Tanzanians get it wrong!