ICC imeishia wapi?

ICC imeishia wapi?

Kitu kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kujiaibisha,

Huko Israel hatua gani za ndani zilichukuliwa kuhusu genocide aliyoifanya Natanyahu Gaza mpaka ICC ndio wakatoa Arrest warrant?

Umeelewa concept? Au unakurupuka tu kijana, unachoongea ni nini na mimi nimeandika nini? Unataka desa? Wabongo kukariri ndo maisha yetu
 
ICC ipo kwa ajili ya kuwanyoosha viongozi weusi
Kwahiyo unakubali kua Dunia haina usawa sio?

Yani unawashabikia hao hao ICC unaosema wapo kwa ajili ya kuwanyoosha viongozi weusi!

Aliyekua rais wa Philippine Rodrigo Duterte ni mweusi? Slobodan Milosevic alikua mweusi?
 
Umeelewa concept? Au unakurupuka tu kijana, unachoongea ni nini na mimi nimeandika nini? Unataka desa? Wabongo kukariri ndo maisha yetu
Acha kuhamisha magoli,najua umesha ona kosa lako tayari,
Acha kutafuta pakutokea,Jibu swali nililokuuliza.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hata muwape na katiba ya chumbani kwenu hamna justification ya kuua raia, hata kama wamefanya uhalifu gani, mna mahakama za nini sasa? Mamaduro atakwenda tu endeleeni kuimba mapambio chawa. Haki ya kutoa roho ni ya Mungu tu sio yeyote
Hivi nyie watu wengine ni mafala ee?!! Au chuki kwa Samia na mapenzi kwa lissu yanawafanya muwe vipofu?!!! Hivi maangamizi Yale ya vituo vya polisi na polisi wenyewe, Mali za watu, taasisi za serikali, kujeruhi/kuua watu wasiokuwa wafuasi wa chama flani, kuharibu Mali za watu wasiokuwa wafuasi wa chama flani yangezuiwa vp?!! Wasn't that an act of war?!!!! Baada ya masaa saba, nani angethubutu kumkamata yeyote maana nchi ingekuwa yote inawaka moto.

Au, type mbinu mkuu za kukabiliana na Hali kama ile yenye kuleta matokeo unayoyasema.
 
Inawezekana ukawa sahihi; lakini kuna mifano mingi tu ya hao hao ICC kuchukua hatua za kuchunguza bila kujali mengine yanayoendelea.
Hapo Kenya; hawakusubiri kuona hatua za ndani zinaendeshwa vipi. Hata kule Liberia kwa Charles Taylor hawakungoja taratibu za ndani. Ma'war Lords' hapo DRC chungu nzima wamefikishwa kwenye mahakama hiyo bila ya mizunguko yoyote.

Hapa Tanzania, hiyo ICC hata kunyanyua kidole tu na kusema chochote hakuna?
Hata huko kusema tu kuwa wamepokea taarifa juu ya swala hilo; na hata kueleza tu kwamba watasubiri kwa sababu hizo ulizoeleza. Wamekaa kimya tu, kana kwamba hakuna lililotokea?

Tulisema tokea mwanzo, haya maswala ni yetu wenyewe. Ni wajibu wetu kujipanga na kuyamaliza wenyewe.
Chini ya nchi hii hakuna kisichowezekana, kama nia ya kutekeleza ipo.

Tuachane na hizi tabia za utegemezi kwa kila jambo.
Umemfahamisha vizuri sana na umempa mifano mizuri sana ila sidhani kama atakuelewa coz anaonekana amesha jikoki kubishana zaidi badala ya kujadili hoja.
 
Hivi nyie watu wengine ni mafala ee?!! Au chuki kwa Samia na mapenzi kwa lissu yanawafanya muwe vipofu?!!! Hivi maangamizi Yale ya vituo vya polisi na polisi wenyewe, Mali za watu, taasisi za serikali, kujeruhi/kuua watu wasiokuwa wafuasi wa chama flani, kuharibu Mali za watu wasiokuwa wafuasi wa chama flani yangezuiwa vp?!! Wasn't that an act of war?!!!! Baada ya masaa saba, nani angethubutu kumkamata yeyote maana nchi ingekuwa yote inawaka moto.

Au, type mbinu mkuu za kukabiliana na Hali kama ile yenye kuleta matokeo unayoyasema.

ICC haideal na matofali, vituo vya daladala wala majengo ya sisiemu, inadeal na wauaji wa raia na wahalifu wa kivita, hiyo ya mali za watu mtadeal nayo nyie haiwahusu
 
Haters wa Samia katika hapa na pale ya kujifariji🤣🤣🤣🤣🤣

Mmesikia bank ya Dunia inamwaga mahela huko?!!!!!!! Haya, nyie kaeni vibarazani hapo mkipiga umbea mwishowe waume zenu warudi wakute hakuna maji yoyote ya moto mliyoyaweka kwa ajili ya kuoga.

Sasa hela za mikopo si zinamuhusu mamaduro na mafisadi wenzie? Sisi kenge tuziongelee za nini? Tunaongelea damu za vijana wasio na hatia zilizomwagwa vyumbani mwao baaaaasi!

Tunasubiri cag wenu miaka ijayo atakuja kusema hata hizo mlikula na nani, mbeba mikoba wa mama kaingizwa mjengoni probably kwa sababu huu mzigo unakuja, atakua keshaweka order za Lambo zamu hii naona
 
Dunia nzima? Ipi? Acheni kujipa umaarufu msiokuwa nao. Labda ongekeeni UCC ya Kantalamba huko

Dunia maana yake global elites sio na kenge wa huko lingusenguse kijana muwe mnaelewa concepts japo sina madesa ya kuwagawia najua wabongo ni lowest IQ ila sikujua ni kwa kiwango gani naendelea kujifunza
 
Hata muwape na katiba ya chumbani kwenu hamna justification ya kuua raia, hata kama wamefanya uhalifu gani, mna mahakama za nini sasa? Mamaduro atakwenda tu endeleeni kuimba mapambio chawa. Haki ya kutoa roho ni ya Mungu tu sio yeyote
Kumbe unamuongelea mtu ambaye simfahamu Mamaduro, sawa
 
Hata muwape na katiba ya chumbani kwenu hamna justification ya kuua raia, hata kama wamefanya uhalifu gani, mna mahakama za nini sasa? Mamaduro atakwenda tu endeleeni kuimba mapambio chawa. Haki ya kutoa roho ni ya Mungu tu sio yeyote
Sasa wanasubiri nini? Yaani ule utumbo wa Maria Sarungi na Mange Kimambi walioukusanya na kumpa Larry Madowo ndiyo ushahidi wenu?? My foot
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Dunia maana yake global elites sio na kenge wa huko lingusenguse kijana muwe mnaelewa concepts japo sina madesa ya kuwagawia najua wabongo ni lowest IQ ila sikujua ni kwa kiwango gani naendelea kujifunza
Kwani unadhani mimi ni mgeni na Rome Statute?? Au unadhani ni wewe tu unaisoma? Hilo desa kampe mvuta bangi Heche
 
Unafikiri kwa nini wanashindwa kutoa report yao? Mashaka makubwa ni hii kitu kwa sababu ICC inataka kujua kwanza efforts za ndani zimefanya nini na kama hatua zinaendana na tukio lenyewe! Wanapambana kuipika kwa kuwa ndio itaactivate hatua zaidi kimataifa either positive au negative, so wanasoma na kuirudiarudia kila wakicheck wanaona mamaduro anasongeshwa so wanarudia kuipika tena na tena ili wamuokoe. Huo muda unaoongezwa mara kwa mara ni kwa ajili ya kuedit ila ndo moja haikai na mbili haikai

Kifupi dunia nzima imekaa macho kusubiri huu mzigo!
Your guesswork is most likely to be true
 
Sasa hela za mikopo si zinamuhusu mamaduro na mafisadi wenzie? Sisi kenge tuziongelee za nini? Tunaongelea damu za vijana wasio na hatia zilizomwagwa vyumbani mwao baaaaasi!

Tunasubiri cag wenu miaka ijayo atakuja kusema hata hizo mlikula na nani, mbeba mikoba wa mama kaingizwa mjengoni probably kwa sababu huu mzigo unakuja, atakua keshaweka order za Lambo zamu hii naona
Sijui hata unajua unachoongea.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hapo Nina mrejea amiri jeshi mkuu ambaye kimsingi anajua Nini kilitokea. Najiuliza kwa Nini hachukui hatua? Haiwezekani nchi unayo isimamia kutokea umwagikaji damu na isichukuliwe hatua yoyote isipokuwa tu kwa vijana wadogo walipokuwa wanaandamana. Kwanini anakuwa mzito dhidi ya walio rusha risasi
Waliorusha risasi si walitekeleza amri iliyotolewa na Samia mwenyewe tena hadharani na mchana kweupe? Anapata wapi tena ujasiri wa kuwawajibisha waliotekeleza amri mbaya ya amri jeshi mkuu? 🤔
 
Back
Top Bottom