Akati huko chumbani huyo ibra hataki kuingia, sasa itakuajee? Lol
Dogo angetulia tu tatizo papara nyingi sana, bad enough utashangaa kuna bitch mmoja nyuma ndio anamshika masikio ili afanye shit hizo kwa jamaa, malaya wazuri ila malaya wabaya pia, Ibrahim huyo malaya anaekuendesha kua makini nae km unapita humu JF nakwambia tena huyo malaya anaekushika masikio ufanye ujinga watch out, unaongea ujinga 6 Million how? I hate bad bitches wakishakutumia wanakuacha mwenyeweHahahaha kosa pesa ila uwe na akili aseme mkataba ukiondoka warudisha pesa ulowekezewa ama alisaini ka mangungo
Mwanangu ngoja nikuambie kitu , achana na yooote ni ngumu kwa mwanaume rijali kabisa kujitokeza na kudai aliombwa donati mviringo kirahisi tu, hayo ni maneno ya moyoni na ya uchungu sanaaaa baada ya kukufika hapa,Dogo angetulia tu tatizo papara nyingi sana, bad enough utashangaa kuna bitch mmoja nyuma ndio anamshika masikio ili afanye shit hizo kwa jamaa, malaya wazuri ila malaya wabaya pia, Ibrahim huyo malaya anaekuendesha kua makini nae km unapita humu JF nakwambia tena huyo malaya anaekushika masikio ufanye ujinga watch out, unaongea ujinga 6 Million how? I hate bad bitches wakishakutumia wanakuacha mwenyewe
Hatutaki kelele huku mtaani, mlipe hiyo 1bn yake uondokeMsanii wa kondegang anaejulikana kwa jina la IBRA ambaye yupo chini ya msanii harmonize amefunguka kuwa mpaka kufika hapa boss wake amewekeza mil 6 tu na huwa anapatapa show nyingi za Dola 3000 anazikataa anasema sio zinazoendana na thamani yangu na label kiujumla wakati uwekezaji wake ni mdogo kwangu, hiyo ni moja ya sababu ya ugomvi wangu na yeye.
Huyu kijana anajimalizaMsanii wa kondegang anaejulikana kwa jina la IBRA ambaye yupo chini ya msanii harmonize amefunguka kuwa mpaka kufika hapa boss wake amewekeza mil 6 tu na huwa anapatapa show nyingi za Dola 3000 anazikataa anasema sio zinazoendana na thamani yangu na label kiujumla wakati uwekezaji wake ni mdogo kwangu, hiyo ni moja ya sababu ya ugomvi wangu na yeye.