Hao wanaoita waganga wanakaribisha ibada wasizozijuaUmesema kweli,ila mimi nashangaa mtu anapohamia kwenye nyumba mpya aliyojenga wengine huwaita waganga wakienyeji eti wazindike nyumba, badala umuite Sheikh au Padre, Mchungaji akaiyombea na kuibariki.
Hao wanaoita waganga wanakaribisha ibada wasizozijua
Kwa hili lazima ujiridhishe na Kiongozi unayemtaka ogopa mno hawa kileo hawa wenye matangazo ya huduma zao kila pembe ya majiji na mijiHilo somo gumu kama kiroho huko vizuri.utaona kama masihala,lakini ni jambo zuri sema changamoto iliyopo ni makuhani wetu na.mashekh uwezo wao wa kupambana katika ulimwengu wa roho ni mdogo sana.hawatofautiani na sisi.wengine wapo kwenye hizo huduma sio kwa wito kama ilivyokuwa kwa Walawi lakini wapo kimaslahi badala ya kuwa wapakwa mafuta wa Bwana.
Hilo somo gumu kama kiroho huko vizuri.utaona kama masihala,lakini ni jambo zuri sema changamoto iliyopo ni makuhani wetu na.mashekh uwezo wao wa kupambana katika ulimwengu wa roho ni mdogo sana.hawatofautiani na sisi.wengine wapo kwenye hizo huduma sio kwa wito kama ilivyokuwa kwa Walawi lakini wapo kimaslahi badala ya kuwa wapakwa mafuta wa Bwana.
wengi hawaongozwi na roho mtakatifu.kazi zao wanazifanya kwa mazoea matokeo.upako haupo na waumini kibao wanaogopa nguvu za giza! wakati tumepewa mamlaka ya kuzikanyaga.Kiukweli alichoandika Mshana nakubaliana nacho
Ila sasa hao viongozi wetu Wa kiroho Bob Luse kaandika ukweli kabisa
Mkuu hata Wachina wana kanuni kama hizo!!!Nimewahi kuona kampuni ya ujenzi ya masingasinga Kabla ya kuanza ujenzi humwita Kuhani wao kufanya maombi Kwa kuzungukia site yore baadaye hutoa sadaka ya Chakula Kwa Watu wote na mafundi waliopo site