Ibada ya kuvunja chungu na kuvuka bonde la hela Nabii Suguye

Ibada ya kuvunja chungu na kuvuka bonde la hela Nabii Suguye

Pascal_TZA

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
35
Reaction score
101
@prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA

@prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha baraka zako, anataka azuie, HATAWEZA kufanikiwa, kuna watu mkifanyabiashara haziendi, mkilima mambo yanakuwa ni hivyo, mkiomba kazi hampati na mkipata ni majuto hamna amani nazo”

Biblia inatukumbusha katika Waraka kwa Waefeso 6:12 kwamba “Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza la ulimwengu huu, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.”

Kwa sababu hiyo tunakusudia kukutana pamoja kwa maombi ili kushinda vita vya kiroho na kuimarisha imani ya kanisa.

Ratiba ya Maombi

Awamu ya Kwanza
• Kuanzia saa 1:00 asubuhi
• Mpaka saa 6:00 mchana

Awamu ya Pili
• Kuanzia saa 7:00 mchana
 

Attachments

  • a505cf59-19b2-413f-8939-77717b1158eb.mov
    16.5 MB
Dini.
Siasa.
Mpira.

Vinaturudisha nyuma sana watanzania.
 
Huyu ni mganga hamajajua tu?
Si huyu alifungiwa Kwa kuwaagiza nywele zenu na kucha

Endeleeni kwenda
 
Je mtu anaruhusiwa kuingia na kinywaji chake. Na hivo mbona tusivunjie nyumbani tu kazi isiwe nyingi. Sijavuta chochote mvua imeloesha viberiti.
 
Back
Top Bottom