Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,331
- 38,691
Source please
shine unapoouliza srce kwa josephine mwisho utamuuliza mama src ya wewe kuja duniani ama kuitwa shine na si boban
Source please
usijali tupo pamoja sana.thank you for the corrections.
Huyu kumbe alikuwa mkristo? mbona kuna siku hapa JF alisema kuwa Yesu alikuwa na mapungufu mengi?Kutakuwa na Ibada ya kumuombea na kumuaga marehemu Mhe Regia Mtema katika kanisa la RC Segerea saa tisa mchana siku ya kesho J3.
J4 kuanzia saa nne asubuhi mwili wa marehemu utakuwa Katika Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya salamu za mwisho kutoka kwa wananchi wote na baada ya hapo safari ya kuelekea Ifakara.
Karibuni nyote.
Du!We ndo unatakiwa uzilete km huna subiri zitakapopatikana zitawekwa
Napanda daladala za wapi kufika?
panda daladala za tegeta.
mkuu usimpoteze mwenzio.
Huyu kumbe alikuwa mkristo? mbona kuna siku hapa JF alisema kuwa Yesu alikuwa na mapungufu mengi?
Pumzika kwa amani Regia...naamini kwa imani yako ulishatubu!!
Hajasema anatokea wapi
Kuna vitu ambavyo ukifanya katika jamii havisahauliki kwa haraka. Anyway, tumsindikize tu kwa amani.duh!!.................. mzeee, una kumbukumbu kaliii!................... hata mie nakumbuka kusoma kitu kama hicho........................ but take easy mkuu, ndo mambo ya misafara ya mamba hayo..................... RIP mpiganaji.......................