Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
Habari za ndoani best hehe heheh mwezi wa toba wakaribia ushavuta nasikiaaaaaaaaaaaaaaaa
[h=2][/h]
Maria Roza............mbona huwa unapotea hivyo........................au nawe umeshikwa ukashikika?
I am back....................................
[h=2][/h]
Maria Roza............mbona huwa unapotea hivyo........................au nawe umeshikwa ukashikika?
Huyu anachakarika sana siku hizi maana ameweka nia kabla ya 2012 awe ameshavuta kitu hiki 🙂...tena mmaaaaa lol!
Hahahha BAK!!!! Huu ugonjwa huu acha tu :A S-rose:
I am back....................................
.....likwanda kuwa makini,huyu ni Mohammed Shossi na sii mwenzetu,..................Haya mwenzetu habari za huko utokako?