i wonder if heaven....

magneto

Member
Jul 23, 2008
61
17
kwa wanao amini;
ivi mbinguni tutapewa miili na rangi mpya let say watu wote tuwe wa blue,au wote tuwe black kusiwe na masuala ya wazungu na waafrika, waarabu n.k
wale washkaji kina emolo watarefuka?
Ivi kweli tutakuwa level sawa na kina ibrahim na nuhu wa kwenye vitabu vya dini?
hakutakuwa na o'bey na kwa mtogole?.....
 
Kutokana na matendo yako ya duniani ndio itaamuliwa uwe wa ngazi (class) ipi...!
 
kama unatoa sadaka kwa maskini na wanaohitaji utakuwa na hazina kubwa mbinguni ila kama ww ni bahili utaishia kupewa mahala pa tabu nk, kumbuka mfano wa yesu alioutoa kwa tajiri na maskini lazarao aliekufa akalala kifuani mwa abrahamu. kule ni raha tupu hakuna magonjwa wala njaa wala umaskini wote tutakuwa tunaimba na malaika na kufurahi na MUNGU milele yote hakuna mzungu wala mwafrika wote tutakuwa sawa tukimeremeta ktk mavazi meupe kama theluji. wale waalio makapi watatupwa ktk tanuru la moto huko kutakuw ana kilio na kusaga meno,ila kwa wale walio tayari ufalme wa mbinguni ni wao.
 
Hapa sina kuchangia. Hili swala ni la kiiman zaid.
 
[QUOTE=SIRLIMU IBWE;Hapa sina kuchangia. Hili swala ni la kiiman zaid.

sio imani kiviile ni komoni sensi tu,wale washkaji mabwanyenye watapungua unene ili tuwe nao na miili inayoendana angalau?
 
Back
Top Bottom