I wish Mhe. Rais Magufuli apewe Tuzo ya Amani ya Nobel

Wallh! Una bahati sana, wewe mleta Mada kwa kuwa umejificha nyuma ya Key Board. tungekuchezesha ngoma ya miziki yooote usiyoijua!
 
Salam wakuu,

Ni wazi kabisa ukiachana na uchapakazi wa hali ya juu na uhodari wa kiutendaji kazi, Mhe. Rais amehakikisha misingi ya kikatiba inazingatiwa, na amani ya nchi inalindwa kwa gharama yoyote ile kusudi Watanzania waishi kwa amani na upendo.

Nampongeza sana Rais wetu.
KLMK
 
Mi natamani apewe tuzo ya corona yaaani kuwa nchi pekee hawavai barakoa duniani ni zaid ya phd yq corona
 
Yaani wewe tena ndo li mbumbu la ma mbumbu. genius kwa lipi? kwani amevumbua formula? au neno genius hujui maana yake, huyo jamaa anaweza kweli kuwa genius? mtu ambaye anasema eti covid-99 Tanzania Yesu ametusaidia kutukinga, Yesu oyeee. wakati kuna sababu ya kisayansi ya kwa nini huo ugonjwa haukuwa kasi sana hapa bongo. Yaani wewe ni pumbafu kabisa.
Nimewasoma mageneus wa physics, hakuna mmoja wao aliethubutu kumuamini yesu Geneus wa mwishmwisho ni Steven hawking, habari za Mungu hakutaka kuzisikia.Kwa mantiki hio Jiwe sio geneus, hakuna geneus anaeamini dini, ila sisi wa kawaida ndio tunao amini MUNGU na dini.
 
Back
Top Bottom