I wish I had a husband already

Kuan Bibie mmoja alinifuata alilia kwa machungu akiomba turudiane baada ya kuzalishwa na jamaa. Alinitukana matusi mabaya pasipo kosa . akamuhonga mwanaume aliyempenda , kizuri : ilikuwa jamaa akimhonga nayeye jamaa anaenda kuhonga alimpa mpaka ATM card alipoona yupo Katibu kujifungua akakomba pesa yake yote skamkimbia

Na hivyo biashara yake ikalala . wosia wangu kwa wanawake

Mpende Mwenye nia dhabiti unayoitaka wewe , sura , pesa na visingizio vingine mkiviendeleza mtalia saaana


Siwezi oa single mother
 
Huu uzi umeandika wakat umevaa nguo?!

Kila kitu kina wakat wake Mungu huwa hachelewi au kuwahi huleta jambo jema kwako pale wakati muafaka unapofika.
Kabisa Mkuu.

Hakuna asietamani kuoa ama kuolewa ila naamini kila kitu kinakuja kwenye wakati muafaka.
 
Uko sehem gan hapa dsm nikutafte maana mimi ndio yule eee mtabiriwa wako
 
Dah eti wafupi na hutaolewa asilani wkt wenzio warefu eanapenda wafupi mfn Joti wanalingana urefu mpenz ya kwel co maumbile wala Mali upo
 
Mimi ni bonge moja la mrefu kama jini... ila nina kibamia... je ninaruhusiwa kuja PM?
 
Hakika wewe ni mwanamke na wengi waliojaa humu JF ni wasichana tu, most of them hawajakua kiakili like huyu mtoa maada. Umeongea naked truth.

I appreciate you...
 
Tatizo akija mrefu kigezo cha hela kitajitokeza

Akija mwenye hela kigezo awe anaishi Dar es salaam kitajitokeza

Akija anayeishi Dar es salaam kigezo cha asiwe na mtoto kinajitokeza

Akija asiye na mtoto utataka mwenye degree

Wanawake mnapaswa kupunguza vigezo mpate Waume
 
Asante, shukrab sana james
Hakika wewe ni mwanamke na wengi waliojaa humu JF ni wasichana tu, most of them hawajakua kiakili like huyu mtoa maada. Umeongea naked truth.

I appreciate you...
 
Hii si dalili nzuri,ndo ushaanza kuongea peke yako,umeanza kuongea peke yako usiku wa manane,baadaye utaanza kuongea peke yako barabarani,kuwa mtulivu,upate afya ya kisaikolojia!
 
Mkiendelea kuangalia sifa za kiumbo sio kiakili utakesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…