I wish I had a husband already


endelea kusema ukweli kama hujatukanwa na kuambiwa mfumo dume!
 
Me sio mluga luga ni Liluga luga, sio ndezi ni Lindezi.
Ila naamini kipo cha ukweli nilichokisema ndezi mimi kilichochokonoa hizo povu. Shape personality yako dada waoaji wapoo..

Ulale salama.

I don't need to change anything about me,unaongea vitu at personal level yet hutaki mtu awe personal na majibu yako,umekua nani?
 
Tatizo lako ni kuchagua mfate anae kupenda kwa dhati... hupati unae mtaka kwa sababu wao awakuchagui wewe
 
d
duh, ama kweli umedhamilia! haya na Mungu akupe sawasawa na hitaji la moyo wako ktk jina la Yesu!
 
Vizuri sana. Ila ungetumia ID yako ya kila siku ingependeza.
 
Dear wife ,I was waiting for you since long time ago,I reserved my heart to love you ,let us now contacts each other,i need you in my life,
 
Mkuu komaa nae tu. Pengine huyo ndio chaguo lako
ila watu wafupi ni ving'ang'anizi si kidogo, yaani unakuwa naye kimachale moyo nusu nusu kwake

Nnae mmoja kila dk anaita hubby mie nacheka tu maana najua sina lengo kabisa. nisameheni wakuu
 
Hamia mkoa sahihi. Huwezi kuwa same Kilimanjaro ukiwa na vigezo hivyo ukafanikiwa.
 
Endelea kuchambua tu mke , mpaka SAA hizi saa sita . jua linaelekea kuzama fasta hata wale uliowakataa utawatafuta hutawapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…