I wish I had a husband already

Angalizo watanzania wengi ni wafupi, unaweza kuishia kuwa old maid
 
Huyu ma,la,ya anatafuta harusi tu, akishaolewa hatamaliza miaka 5 bila divorce siombei hilo ila ndio nachokiona tokana na pride alionayo na bila shaka ndi kilichomfanya yupo single hana hata mchumba!
wanaitwa single mom material.........
 

Yeye tatizo siyo watoto kuwa warefu bali kama wewe ni andunje hamtapendeza mkiwa mnatembea mlimani city au mkienda senema.
 
Yeye tatizo siyo watoto kuwa warefu bali kama wewe ni andunje hamtapendeza mkiwa mnatembea mlimani city au mkienda senema.
Mpuuzi basi huyo demu, mwanamke anaetafta mtu kwa vigezo vya kimo huwa ana matatizo flani katika namna ya kufikiri vitu. hizo bishara ni za watoto wa form 1-6! Ukiona mtu mzima anaongelea urefu sijui wataonekanaje wakiwa wanatembea barabarani ujue mtu hamna hapo!
 
We unafikiri Jf imejaa wanawake tu? Au nitoe siri? Nilidate na mtu from Jf for three years and everything was going well with the relationship..this is just a new ID (my interest declared)

Alikuwa mrefu au mfupi?? uliachika ulimuacha? nani alimshindwa mwenzie?
 

Tatizo hao wa automatic wote ni ma andunje ambao hawataki huyu mrembo
 
Wanaume warefu wapo PM tunayajenga nyie wafupi endeleeni kutokwa na mapovu hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

,...Angalizo.....hao matolu waambie wakuonyeshe picha toka juu mpaka chini kabla hamjafika mbali huko PM....siku zote wanaaongea sana ni ma andunje na ndiyo waliowahi huko PM ...
 
Here I am bebe. Nimesubiri kwanza hao wajipitishe then mzee mzima nicomment.

Tell you what, even me am tired of sleeping alone. Njoo kwangu Mama njoo. Come to me bebe. Come, &Let's build our kingdom.

NB: Sifa zote ninazo. Mi mrefu kila eneo.

kwa maneno haya kama ni boya atakusikia
 
Panic at your own risk
 
Yawezekana nikawa mimi.nipo hapa mume wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…