I wish I had a husband already

Duh! Dunia ya ajabu Sana! Yaani kuna mwanaume sehemu naye ana matamanio kama ya kwako na pengine hata kuonana mmeishaonana lakini hakuna anyejua shida ya mwingine! Sema amina mwenyezi Mungu atakubariki !
 
Nina vigezo vyote tatizo langu napenda pombe ila Niko tayari kubadilika.....kama siyo ishu kwako ni.pm plz lady
 
ila watu wafupi ni ving'ang'anizi si kidogo, yaani unakuwa naye kimachale moyo nusu nusu kwake

Nnae mmoja kila dk anaita hubby mie nacheka tu maana najua sina lengo kabisa. nisameheni wakuu
Halafu kawe kanene..duh
 
Tengeneza tu wakwako bila hivyo dudu utakuwa unaisikia tu kwa jirani
 
Sijapata aliekidhi vigezo sitaki kuwa na mume ilimradi ni mwanaume I want a husband atakae nitia hamasa ya kufanya nae mapenzi kila ninapomuona au kumfikiria sasa akiwa mfupi siwezi kulowana kabisaaaa
Hapa ndipo ninapowapatia nyie viumbe....karibu pm unithaminishe
 
Kitu ambacho watu wengi hukosea ktk mahusiano ni pale wanajikuta wanaangalia mtu kwa jinsi ya nje: urefu, weupe, ufupi na weusi kama ndio factor muhimu ya kupata wenzi, hayo ni makosa makubwa. Kitu muhimu katika mahusiano ni upendo tu, mkishiba upendo kila kitu kitakuwa swafi, ukivutiwa na wajihi, kama hakuna upendo, haitachukua muda mtaanza kupeana majina mabaya na kusahau kilichokuvutia.

Vv
 
Asante sana kwa kukubali kwa mke wangu wa tatu. Mmmwaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…