I Will Never Trust Any Man

Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....
 
Mahesabu ya bongo yasikuumize kichwa. Asilimia sabini ya watu wangapi? Na ni kwa nini walipima? Hao walopima walikuwa tayari wanajua kinachoendelea hivo walienda ku confirm na hawakupima kujifurahisha; hivyo hizo data zisikuumize kichwa. Ni za waliozaa nje ya ndoa waliotaka kupima kama mtoto wa kimada ni wake au kuna waliomsaidia. In fact ilitakiwa iwe 100% kwani tayari waloenda kupima hawakuwa na imani kuwa watoto ni wao.

Ni sawa na kumpima ukimwi mgonjwa wa TB.
Ingekuwa kinyume cha ingetoa matokeo ya kuamninika zaidi: Ni sawa na kumpima TB mgonjwa wa ukimwi -. Hapo ungepata 100%+/- ya uhakika. Kuna wagonjwa wengine wa TB hawana ukimwi.

Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....
Bi Mrembo Asilia, kwa kiasi kikubwa ninakubaliana nawe. Tafauti ni kuwa wanaume wengi hata watendwe nini, wanagugumia kiburi na majivuno yao na hawako tayari kuhadithia stori zao. Mfano, mwanamue hata akitolewa nyumbani kwa mke kwa mateke kwenye masaburi, atajidai "ananitimua kwa sababu nimemwambia simtaki tena", katu hasemi ukweli. Kama wanaume nao wangekuwa wanaeleza jinsi walivyotendwa, ungeona kuwa suala la kutendana halitegemei jinsia (ingawaje nakiri kuwa kimaumbile wanaume ni wakorofi zaidi).
[just my thoughts]
 
Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....

wanaume kutokanaa na makuzi (mfano mtoto wa kiume halii hovyo) huwa hatulalamiki
sana tunapotendwa. wengi huwa tunasonga mbele. ukisikia wanaume wanavyotendwa na wadada
stori za wadada kutendwa na wanaume zinakuwa cha mtoto
 
Mjinga huyo mdogo wako, alijua kabisa mwanamke mwenzie kaachika. Basically mwanamke ni mwanamke tu, sasa yeye alijiona ni Cleopatra eeh. Anashangaa nini mwenyewe kurudiana na mpendwa wake? Hakuna haja ya kutowaamini wanaume wote, na yeye afanye bidii au amuombe Mungu amsaidie kumpata mpendwa wake ambaye hata akiondoka kwa tamaa ataenda ataramba na kisha atagungua hakuna cha ziada then anamrudia yeye mpendwa wake!
 
Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....

Nasema hivi huyo dada ndo mjinga na tena ana roho ngumu kama almasi! yeye kajua mwenzake kaachika na yeye anamkubali huyo mwanaume, hivi hakufikiria huyo mwanamke mwenzie ataumiaje! Nyie wanawake sometimes tafakarini upande wenu wa shilingi, mnadhuriana nyie wenyewe pia! Msikimbilie kunyooshea vidole wenzenu kwa minajili ya kuanua ngoma juani.
 
ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na mpendwa wake ooh me nimepata shock naapa sitapenda tena,haya ni maneno ya mdogo wangu camilla,
Acha uongo wewe umetendwa wewe alafu unajifanya mdogo wako,kwataarifa yako mambo yakikuzidia utapenda tena na sio mbali itakuwa soon tuu!!
 
Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....
Aaah,bana eeeh msipende kutusema sema vibaya nyinyi {wanawake}kama mnatuona sisi baba mmoja mama mbalimbali kwanini mnajiremba mara make ups,tusingekuwepo sisi mngekuwa mnajiremba sababu gani?Mnatakiwa mshukuru sana kuwekwa dunia moja na sisi nyie watu,90% ya mahitaji yenu ya kibinadamu soln.yake ipo kwetu,tatizo lenu nyinyi mmezoea kudanganywa,na sikuzote ukitaka kumkosa mwanamke mwambie ukweli,ur unstable creatures including my female family members!!!
 
Afadhali umetusuta. Waswahili wanasema 'Zigo la mwenzio kanda la sufu', muache ahangaike nalo manake alihisi mwenzie anafaidi!
Nasema hivi huyo dada ndo mjinga na tena ana roho ngumu kama almasi! yeye kajua mwenzake kaachika na yeye anamkubali huyo mwanaume, hivi hakufikiria huyo mwanamke mwenzie ataumiaje! Nyie wanawake sometimes tafakarini upande wenu wa shilingi, mnadhuriana nyie wenyewe pia! Msikimbilie kunyooshea vidole wenzenu kwa minajili ya kuanua ngoma juani.
 
Kuna kila ushahidi katika statiscs za kimataifa, kwamba unapowaweka Male & Female na issue ikawa kuwapima uaminifu basi mwanamke ni lazima awe juu kwa kutokua muaminifu, japokua ukija ktk masuala ya huruma nani zaidi mwanamke atakua ni mwenye huruma kuliko mwanaume na kunako ujasiri wa kukabili task events mwanaume ndy mwenye ujasiri, pamoja na kwamba nimetumbukiza yalio nje ya topic ya thread lakini agenda hii naomba muelewe ni njanja pana sana tofauti na mnavyoifikiria kwani uaminifu ama kinyume cha uaminifu una minor elements hadi ufikie kua, hauzuki tu kama uyoga! Unavyo vimelea vya usababishi. Mwanzoni nimesema upo ushahidi wa kimataifa wa kumuhusisha mwanamke na kutokua mwaminifu hivyo nimeacha mlango u-wazi atakae source aseme cha-mbegu nifunguke
 
Lete source; maana mi najua ni opposite. Dunia nzima inalia na cheating za wanaume si wanawake hasa kwenye ndoa. Haya nenda ka google source otherwise naona unaongea porojo kufurahisha jukwaa la MMU.

Kuna kila ushahidi katika statiscs za kimataifa, kwamba unapowaweka Male & Female na issue ikawa kuwapima uaminifu basi mwanamke ni lazima awe juu kwa kutokua muaminifu, japokua ukija ktk masuala ya huruma nani zaidi mwanamke atakua ni mwenye huruma kuliko mwanaume na kunako ujasiri wa kukabili task events mwanaume ndy mwenye ujasiri, pamoja na kwamba nimetumbukiza yalio nje ya topic ya thread lakini agenda hii naomba muelewe ni njanja pana sana tofauti na mnavyoifikiria kwani uaminifu ama kinyume cha uaminifu una minor elements hadi ufikie kua, hauzuki tu kama uyoga! Unavyo vimelea vya usababishi. Mwanzoni nimesema upo ushahidi wa kimataifa wa kumuhusisha mwanamke na kutokua mwaminifu hivyo nimeacha mlango u-wazi atakae source aseme cha-mbegu nifunguke
 
ni experience tu, akishawajulia hawamsumbui tena.
Aaaaaah wapi..wanawake wanaojiona wajanja na expirience ndio huwa wanalizwa kila siku!! ni vigumu sana kumfahamu mwanamume 100% kama ilivyo vigumu kumfahamu mwanamke 100%
 
ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na mpendwa wake ooh me nimepata shock naapa sitapenda tena,haya ni maneno ya mdogo wangu camilla,
Tatizo mnadanganyika kirahis sana,kwn alikukuta bikra huyu jamaa?nawe c ulikuwa na wako b4 him?mbona ukufikiria huyo mpnz wako wa zamani atajisikiaje kumuacha na kumchukua huyo?
Dada zetu nyie ndo chanzo cha matatizo hamtuliiiiii hata mpewe nn!ndo maana nasi tunawatenda coz hamuaminiki!
 
Pole sana dada, unaweza kujilaumu sana lakini huyo jamaa anakili sababu ya kufanya alivyo fanya. Alikupenda wewe kwakuwa tu ameachana na anayempenda. Hakuwa na mapenzi kwako.

Pole, endelea kutafuta. Wa kwako yupo na atakuja.

shikamoo mzee,
umetoa ushauri mzuri,
kumbe wengine huelezwa ukweli wakati wa kuombwa kitumbua ila wanashindwa kuelewa maana halis ya maneno wanayoelezwa,
 
Kwa kuhakishia wanawake ndo mna matatizo,sijawahi kukutana na mwanamke ambae anaeleweka,lakini bado siamini kama wote wapo hivi,so na wewe jaribu kuondoa huo ukuta,wanaume waaminifu tupo tena hatujui tutapata wapi wanawake waaminifu wa kuoa!
 
[QUOTE

Ni sawa na kumpima ukimwi mgonjwa wa TB.[/QUOTE]

naomba maelezo zaidi. Naona unapotosha jamii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom