I want this house.

I want this house.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
wp_ss_20160910_0002.png
 
Mandhari. Muunda. Mpangilio.

Inavutia kwelikweli.
 
Halafu iwe pembezoni mwa bahari! da shitt!
 
I just want the garden.....the house is too big....for me.
Wewe ndo umeongea, garden ikiwa nzuri kiasi cha kuvutia, hukai ndani ya nyumba...wenzetu nchi zilizoendelea ndani wameweka mazingira ya kuifanya nyumba ivutie na huichoki na nje pia kwenye garden wanaweka design ya kufurahisha macho...kwa uzoefu wangu nyumba nzuri za huku kwetu baadhi zinachosha kwa kweli....nyumba ni nzuri za kisasa lkn muundo wake na mpangilio unachosha
 
Wengi wanasahau nje. Utakuta nyumba kuuuubwa imekula eneo lote gardeni ndogo,parking gari mbili zinakaa kwa shida. Hamna kitu kizuri kama garden nzuri,imagine jumapili kama leo umekaa garden unasoma magazeti na kahawa yako pembeni
 
Afu uwepo na upepo mwanana utulivu wa mazingira utapapenda kwako siku zote usiku na mchana, kupamba garden ni muhimu sana sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom