tooooooobaaaaa......
Boooongeeeeeeeeeeeeee......
Booooooooongeeeeeee la jituuuuuuuuuuuuuu
Mkuu urefu cm 170 uzito 60 kg. Nipe habari
Nani kasema sijui? najua sana, nilipimwa hapa juziBasi kama haujui Mwali......
wanawake wafupi na waliojazia ndio hotcake
Nani kasema sijui? najua sana, nilipimwa hapa juzi
pindi nilipoenda kupata chanjo. lol
Kuna mtu kanambia kuna chanjo nilitakiwa kupewaChanjo gani ukubwani mwali?
Kuna mtu kanambia kuna chanjo nilitakiwa kupewa
Na mimi sikumuuliza, nikadungwa tu. hivi nilikosea?
Kuna mtu kanambia kuna chanjo nilitakiwa kupewa
Na mimi sikumuuliza, nikadungwa tu. hivi nilikosea?
Sidhani, ni mtu muaminifu sana, recomended by shangazi yangu.Teh shauri yako...ni chanjo ya kuzuia uingia Jf
lol
Kha :shock:! Pun zingine hata haziswihi. Mi Mwali bwana...kwa iyo umeshaDUNGWA?...
Sidhani, ni mtu muaminifu sana, recomended by shangazi yangu.
Kha :shock:! Pun zingine hata haziswihi. Mi Mwali bwana...
Shem, tafadhali...Usimung'unye mavokali ! Kama una jipu mdomoni! Sasambua majibu! Alaaa!
Shem, tafadhali...
Kwanza unafanya nini huku wakati cousin wangu kisha lala?
Sm 100 na kg 80
Mtoa mada kapotea...nafikiri alikuwa anataka kujua km tunajua hayaHeight 135cm. . . Weight 75 kg
Enheee. . .What's next?
ww unafaa
Uko ktk std ninayoitaka