If you want diagnosis from real doctors go and see a real doctor.
Man you are sooo sooo disgusting!! Mapenzi nje ya ndoa yalishapitwa na wakati kizazi cha sasa ni cha science and technology no time to waste. Muulize mkeo akushauri ni dawa gani umpelekee huyo kimada wako. Je kama na mke wako anataka kujikumbushia wa zamani wewe unaionaje hiyo???
Doc!
Please what ı want to revıal to you ıs a true story!
Dont even hesıtate replyıng me because ı am ın a monent that have no return!
I have a gırl whom we spent the whole 2008 ****ıng her. Wıthout havıng any protectıon.
The ıssue ıs, ı forsaken her at the tıme ı marrıed my wıfe ın 2010.
I kept commınıcatıng wıt her all thıs tıme as you sımply know we men tend to not not forget the one who just fought maxımum to what we deserve!
So nılıvo mcall jana akanambıa kuwa anagono sugu ambalo katumıa dawa from mıdıest of 2010 tıll now hajapata dawa ılıyompa relıef.
Bahatı mbaya nataka nımkamue very soon just to refresh my roots!
Naomba ushaurı wa kıtaalam atumıe dawa ganı ılı apone nıweze kukutana naye.
Coz mpaka wahz nshamzalısha mke wangu nılıenae na nıpo fresh kabısa.
Ila nımemmıs sana huyu bıbıe na alınıkosha sı utanı enzı zıle nakutana naye!
Plz plz plz ma doc wa JF just dıagınose me whıch kınd of. Doze should ı use to make her free from spreadıng the dısease!
Nı hayo tu!
I couldn't have put it better.Tuanze na Ushauri wa Kitaalamu
1: Wewe si mwaminifu katika ndoa yako na unaqualify kuitwa malaya
2: Kila palipo na red ni eneo lenye Udhaifu wako , na usipende kusemea wanaume wengine kwa kutumia 'we men' badala ya 'i'
3: Kama ana gono ,it means hata yeye anafanya mapenzi na watu wengine (Kama hujamuambikiza wewe) na chain hiyo inaweza kuwa ni ndefu. Na naweza kusema pengine ana VVU pia. Hujatueleza amatumia dawa gani ili usaidiwe na kwa kuwa siyo wewe utakayemeza hizo dawa wala mwenye gono, madaktari hatutibu 'third part'. Inatakiwa tupate maelezo yake binafsi na kufanyiwa vipimo vingine muhimu
4: Wewe umejuaje kuwa uko fresh? Kwani madhara ya gono yanaweza kujitokea kwa haraka (immediate) au baadaye sana (Late)
5: Kwa nini ulioa mwanamke mwingine kama huyo bibie alikuwa anakuridhisha?
6: Lengo la Madaktari hapa JF ni kuelimisha jamii na siyo kuifundisha jamii ufuska
7: Japo sitakiwi kuwa judgemental lakini kwa Maelezo yako, usipobadili tabia ukatulia na mke, basi waweza kupata ukimwi haraka sana kama kwa bahati bado hauna.
Mlinde mkeo na Mwanao!
Unachekesha sana coz mke wangu mı ndo nılımtoa bıkra saat ataenda kwa wapı wakatı mı ndo mjuvı wa mavıtuuuuz!
out of fool, comes something stupid........!
una mke, malaya wa nje tena wana gono sugu wa nini? na mkeo akiamua kumtafta ex bf utajickiaje? sifurahii watu wakushauri ili uendelee na uzinzi wako....! ndoa ni takatifu na iheshimiwe na watu wote.
Unachekesha sana coz mke wangu mı ndo nılımtoa bıkra saat ataenda kwa wapı wakatı mı ndo mjuvı wa mavıtuuuuz![/QUOTE]
You don't sound like 'mjuvi wa mavituuuuz'....you sound more like 'limbukeni wa mavituuuuz'. Hivi kwa umri wako (umeoa na una mtoto kwa hiyo ni mtu mzima) unaogopa 'Gono' mahali ambapo dhahiri unaenda kukwaa 'Ngoma'?! Mwanamke una miaka hujakutana naye, anaishi maisha yake (ambayo yamempatia Gono sugu) ambayo wewe huyajui for years, na bado unataka kurudi hapo tena ukiplan kuingia 'peku'!?
Kibaya zaidi unalazimisha kuwa wanaJF Doctor ni majinga kama wewe kuwa watakupa ushauri wa jinsi gani utajikinga na 'Gono' kwa kitendo ambacho dhahiri kitakupatia Ukimwi! Halafu uupeleke huo Ukimwi kwa mwanadada wa watu innocent ambaye amekaa nyumbani akikulelea mwanao!