I want dagnoss from Doctors only

He agrees that he love his wife and his family and he is apologized for a such stupid post. Mada imefungwa
 
Diagnosis yako una kichaa. ukaombewe, ama ukaaguliwe kwa waganga
otherwise im putting u up for admission in the psychiatric ward
 
Huyu ni limbukeni na zaidi ana tatizo la akili lakini nakukumbusha kisima kuwa ni vizuri ukisha achana na msichina/mvulana aliyekuwa mpenzi wako na kila mmoja akawa na maisha yake usijaribu kuangalia nyuma na kurudiana naye utatafuta balaa na utakufa siku si zako,kuwa uyaone kisima na acha makosa na sifa za kijinga
 
kwanza hakikisha kama kweli ni gono! Nakushauri afanye culture and sensitivity! hapo itakuwa rahisi kujua moja kama ndo yenyewe na pili kujua susceptibility ya hao wadudu kwenye dawa za aina tofaut tofaut, then you use the right treatment!
Hiyo anayoita gono sugu inaweza kuwa ya kawaida tu ila labda quality ya dawa alizotumia au hao wadudu ni resistant kwenye dawa alizotumia! Culture and sensitivity itakupa majibu ya uhakika zaidi!
... Kisima fanya hivyo.
Ushauri mwingine kama utashindwa kufanya hayo [labda kutokana na mazingira km kama uko katika remote area,culture&sensitivity ni msamiati mwingine usiotatulika] : Nenda kwenye kituo cha tiba,hapo mgonjwa wako atapatiwa tiba kwa kufuata flow chart ya STDs... Yani kuna dawa zinaanza mwanzo,after a short time mgonjwa anarudi kituo cha tiba,kama hajapona anapewa second line treatment hadi 3rd line kama atakuwa bado hajapona... Atapata na ushauri wa ziada,ikiwa pamoja na kumshauri mwenza wake [sio wewe] ambae amekuwa nae katika kipindi hiki cha tatizo na asi/ wasifanye unprotective sex hadi tatizo hili liishe.
... Kwa upande wako take care. Sikushauri ku-do with that girl kwa sasa, hadi pale utakapohakikisha amepona. Na hata akipona,hebu mkafanyiane check up,hasa ya HIV... Pamoja na hilo,huu sasa si ulimwengu wa kufanya unsterile sex [unprotective] na mtu ambae huna control juu ya maisha yake... Linda afya yako,linda familia yako kwa nguvu zako zote,kwa akili zako zote.
... Nimeandika yote haya kwa kuwa najua kukushambulia pekee hakutoshi kuzuia kukupoteza... As a clinician najua watu wenye tabia kama yako wapo wengi na hata humu ndani ya jf pengine wamo... Na labda baadhi yao
wamekushambulia hapo juu... Kwa nia njema tu wamekukemea. Point of note,hakuna anaependa kuwa hivyo ni mitamaa ya kibinadamu tu ambayo ni involuntary kwa baadhi yetu [maybe] !
 
acha kuwa na nyege za kijinga kakupa mambo gani ambayo mkeo hawezi?? unajua gono kalitoa kwa nan?? just cul, kama unahisi mkeo afanyi unavyotaka, jaribu kuongea nae anaweza badilika kwani kila siku style zinbadilika.. jilinde wewe na familia yako.
 
Mpeleke hospitali huyo kimada wako, ikibidi mpime na ngoma....
 
Kama unataka diagnosis,nenda kwa daktari. Such things need to be discussed. Hayawezi kufanyika katika net. Kamwambie daktari unaumwa nini,tokea lini,what does it feel like,what do you think caused it.
 
Huna maana kudadadadadeki yani mtu una mke halafu unataka kutoka na mwanamke mwingine tena ana gono huna akili ww ndoa na iheshimiwe na watu wote mbna unatuzalilisha wenye ndoa tuonekane wala matapishi?km stail mfundishe mkeo
nyambafu yani shit nataman nikuone
 
Huna maana kudadadadadeki yani mtu una mke halafu unataka kutoka na mwanamke mwingine tena ana gono huna akili ww ndoa na iheshimiwe na watu wote mbna unatuzalilisha wenye ndoa tuonekane wala matapishi?km stail mfundishe mkeo
nyambafu yani shit nataman nikuone
 
Kisima umepitwa na wakati (Mshamba) kwasababu bado ina imani za kizamani kwamba kufanya mapenzi na wanawake wengi ni sifa!!. Je kama mtu ana gono ni kwanini asiwe na magojwa mengine!!. Ukifa sasa hivi na ukimwi na kumuambukiza mke wako nani atamtunza mtoto au utamwambia nilikuwa nakamua!. Hizi akili za kishamba zinarudisha nyuma sana nchi tuna wagojwa wa ukimwi milioni mbili! ni misaada tu lakini ukweli ni kwamba gharama za dawa bila msaada ni $500 kwa mwezi au $6000 kwa mwaka tushukuru Bill Gates na serikali ya marekani kwa misaada yao.
 
Back
Top Bottom